Mmechoka, mshalala?

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,233
jamani mara hii hamuonekani?
Mshalala?
Au kimchina changu hakiwaoni?

Hebu rudini tupige story mbili tatu afu tupotee.
 
wenzako washapewa cha usiku na wamelala........
wewe je? tafakari, chukua hatua ya kunitafuta.
 
Itabidi niombe mechi ya kirafiki maana na wewe unahanja hanja tu humu

wenzako washapewa cha usiku na wamelala........
wewe je? tafakari, chukua hatua ya kunitafuta.
 
Itabidi niombe mechi ya kirafiki maana na wewe unahanja hanja tu humu
Nimeshamaliza kazi ya ndoa niliyojichagulia!!
mechi ya mchangani......kama kombe lla mbuzi poa!
 
@rusian &mphamvu mbona naona majibu yenu yametofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…