PlataOPlomo
Member
- Jun 14, 2025
- 35
- 25
- Thread starter
- #21
Nilishajiandaa kukutana na watu wa namna yako , kwa hiyo siwezi kuwa provoked na kauli yoyote kwa sababu Focus yangu ni ujumbe ufike kwa wa TANZANIA wengi na wenye uelewa na ueledi katika kusimamia HAKI na kusapotiana.