Mmea hatari wazua hofu jijini Arusha

Mmea hatari wazua hofu jijini Arusha

Mbona huyo jamaa anashika tu wala haogopi...habari ya kizushi hii...pia haina chanzo

Sawa mkuu we lete ubishi tu eti ukiukojolea unapata tezi dume kuna jamaa amecomment hivyo hapa daah watu waache utani mme hu upo
 
maelezo haya hapa chini nimechukua kutoka wikipedia, kwa bahati mbaya ni kwa kiingereza,
Contact with the plant causes dermatitis and respiratory malfunction in humans, and dermatitis in cattle and domestic animals. The main substance responsible is parthenin, which is dangerously toxic.[18][19][20] It also is responsible for bitter milk disease in livestock when their fodder is polluted with Parthenium leaves.[3]

Among other allelopathic effects of the species, the presence of Parthenium pollen grains inhibits fruit set in tomato, brinjal, beans, and a number of other crop plants.
 
Back
Top Bottom