Mme hajiwezi kwenye tendo la Ndoa

Mme hajiwezi kwenye tendo la Ndoa

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
274
Reaction score
108
Habari zenu wana JF.
Nina Rafiki yangu wa kike anaomba ushauri pls naomba tujaribu kumsaidia.
Huyu dada kaolewa na wamebarikiwa mtoto mmoja wa umri wa miaka 5.

yeye na mme wake Wote waajiriwa serikalini.Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.mwisho wa siku yule mme akahamishiwa ki kazi mikoa ya kusini.kule yupo sasa ni mwaka na miezi kadhaa.
lakini huwa anakuja kutembelea familia yake hapa dar.

Tatizo lilianza taratibu ikifika ule mda wa tendo la ndoa mme hana nguvu hata ya kurudi tena.ikaaendaa kwa mda mrefu sana mwisho sasa imekuwa haisimamimi kabisa.yaani hata akija wanaishi kama kaka na dada.

wamejaribu kwenda hsptl majibu Dr kasema kuna mfupa kwenye uti wa mgongo umesimama na watakiwa kulala na hiyo inatokana na kukaa kwenye kiti mda mrefu.hivyo yapaswa afanyiwe mazoezi.na wameshajaribu kufanya lakini hakuna nafuu yoyote ile.

Sasa yapata mwaka huyo shosti yangu analalamika hajawahi kufanya tendo la ndoa na ukiangalia ndo ana umri wa 32 sasa bado anahitaji kupata watoto.anaomba ushauri wenu tafadhali kama kuna namna ya yeye kupata dawa ya mmewe kuweza kufanya kazi tena.mme wake ana umri wa 38.

pia kuvunja ndoa hawezi maana ni ndoa ya Kiroman na pia hofu ya kwamba watu watasema kamkimbia mwenzie pindi ana matatizo.
 
Kuna dawa ya mitishamba lkn ni garama kidogo, si chini ya 2,000,000.00
 
Ni-pm namba yake ya simu nimuelekeze huyo muathirika sehemu ya kumpeleka mumewe akapate matibabu.
 
Naomba anipm niwe natoa msaada jamani.
 
jamaa yuko tayari tumsaidie kwa tiba?
 
Aonanake na daktari jamani.....aongeze mwaka wa uvumilivu labda atapata tiba, ikizidi hiyo ndoa ndo iko end of the road
 
Ujue ndoa ni mtizamo. Hakuna jibu la 1+1=2.

Yeye huyo dada thamani ya ndoa ni ipi? Maana kama ni kufika kilele tu, mme anaweza mfikisha for sure. Kama ni mtoto hakuna mbinu ya kihospital za kumkamua huyo baba mbegu?

Lakini kama haoni suluhisho lolote, na ndicho naona anachotafuta ni justification ni kucheat.

Hospital wameshaliona tatizo, na mume hajapona, labda atafutemsaada akatibiwe nje kwenye wataalam zaidi.
 
kongosho amelonga
labda kama dushe linamchanganya huyo mdada!
 
Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.

Na huu ujumbe uwafikie wanaume wenzangu woteeee mnaoendekeza pombe kama maji ya sharubati...

Mitalimbo yenu ipo hatarini kulala dorooo mazima na isiamke tena...itabakia historia tu kuwa ulikuwa na uwezo wa kusimamisha...

Binafsi naamini huo ushauri waliopewa huko hospitali ilikuwa ni kumtia faraja tu huyo mwanaume kuwa ipo siku atapona...
 
na huu ujumbe uwafikie wanaume wenzangu woteeee mnaoendekeza pombe kama maji ya sharubati...

Mitalimbo yenu ipo hatarini kulala dorooo mazima na isiamke tena...itabakia historia tu kuwa ulikuwa na uwezo wa kusimamisha...

Binafsi naamini huo ushauri waliopewa huko hospitali ilikuwa ni kumtia faraja tu huyo mwanaume kuwa ipo siku atapona...

hahahaha 2nakunywa mpaka vwanda vfungwe.dawa ya hyo k2 ni mazoez 2
 
Ni-pm namba yake ya simu nimuelekeze huyo muathirika sehemu ya kumpeleka mumewe akapate matibabu.
Usihofu ni ushauri tu maana ulivyo-like haraka haraka. Hahahahahahaaaaaaaaa..

CC: Heaven on Earth
 
Habari zenu wana JF.
Nina Rafiki yangu wa kike anaomba ushauri pls naomba tujaribu kumsaidia.
Huyu dada kaolewa na wamebarikiwa mtoto mmoja wa umri wa miaka 5.

yeye na mme wake Wote waajiriwa serikalini.Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.mwisho wa siku yule mme akahamishiwa ki kazi mikoa ya kusini.kule yupo sasa ni mwaka na miezi kadhaa.
lakini huwa anakuja kutembelea familia yake hapa dar.

Tatizo lilianza taratibu ikifika ule mda wa tendo la ndoa mme hana nguvu hata ya kurudi tena.ikaaendaa kwa mda mrefu sana mwisho sasa imekuwa haisimamimi kabisa.yaani hata akija wanaishi kama kaka na dada.

wamejaribu kwenda hsptl majibu Dr kasema kuna mfupa kwenye uti wa mgongo umesimama na watakiwa kulala na hiyo inatokana na kukaa kwenye kiti mda mrefu.hivyo yapaswa afanyiwe mazoezi.na wameshajaribu kufanya lakini hakuna nafuu yoyote ile.

Sasa yapata mwaka huyo shosti yangu analalamika hajawahi kufanya tendo la ndoa na ukiangalia ndo ana umri wa 32 sasa bado anahitaji kupata watoto.anaomba ushauri wenu tafadhali kama kuna namna ya yeye kupata dawa ya mmewe kuweza kufanya kazi tena.mme wake ana umri wa 38.

pia kuvunja ndoa hawezi maana ni ndoa ya Kiroman na pia hofu ya kwamba watu watasema kamkimbia mwenzie pindi ana matatizo.

Akiwezeshwa ataweza!
 
Atumie sana mayai ya kienyeji na aachane na pombe pamoja na sigara afanye mazoezi pia akacheki na tatizo la moyo kama analo ni hasara nalo
 
The best way is to work it together... haya mmambo ya ndoa ni ya kiroman catholic yametoka wapi? yani mwenzio mtalimbo kulala doro tu uanze kufikiria kuvunja ndoa? kama shida ni mtoto mwingine sio lazima umpate kwa mtalimbo kusimama na kama ni kukojoleshwa sio lazima mtalimbo usimame ndio ukojoleshwe bana... khaaaaaa
 
mmh kiukwekli inasikitisha embu mwambie ahamie tanga kidogo kama wiki hiviiikishindikana basi aende nje kwenye advance d tiba zaidi
 
Back
Top Bottom