mmasai ndani ya boti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mmasai ndani ya boti

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Konaball, Jul 26, 2012.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,767
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  [h=6]yerooo bora iliwe na simba kuliko kusama ikaliwa na samaki ya bahari, huyu mmasai tulipanda nae boti leo kabeba madumu usifikiri hayo ni ya biashara? anayaweka hakiba boti ikizama yamuokoe maana miboti haina life jackets. boonge la ubunifu[/h]
   
Loading...