Mmasai na konda

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Mmasai mmoja alipanda daladala eneo la hospitali kuu Moro. Daladala ilipofika eneo la shan darajani akamwambia konda " elo, imefika shusha hapahapa darajani" Konda akamwambia darajani hatushushi hakuna kituo. "Elo, mbona kupandisa inapandisa popote kwa nini kushusha inachagua?, na mimi sasa kukulipa inachagua itakulipa siku ingine kama inanipitisha hapa". Konda ikabidi amshushe darajani huku akilalama tatizo la wamasai wabishi. Abiria wakamtete yule mmasai na kusem si kweli ila yeye konda pale alipompakia hapakuwa na kituo hivyo kama anataka wengine wafuate sheria na yeye afuate sheria.
 
mi mmasai bwana..nasema mi mmasi....nadumisha mila ile wengine lishashindwa!!!!
 
Ati huyu masai ako intelligent. ako ameniteach lesson, now hawa machalii wa matatu hawatanichongoa, nakwambia this year watasunda rong'i zao apa Nairobi
 
ah ah ah nimekumbuka stori niliyopewa nikiwa mdogo, kuwa kuna mmasai alinunua underwear 4, akavaa moja zikabaki 3 pembeni, alipotembea umbali mrefu akapita porini kuchimba dawa, wakati akichimba dawa akaisahau nguo yake hiyo kwenye mti alipokuwa ameitundika ili achimbe dawa, akaenda kupanda gari akiwa amesahau kuwa hajavaa ile nguo yake akawa anakaa kwa mapozi ya kujiachia sana! ili kuringishia nguo yake mpya ionekane, (pasipo kujua hana) sasa watu wakawa wanamshangaa! mmasai akawaambia "eroo, inashangaa nini? hii? mimi anayo ingine 3 kama hii!!(huku akionyesha)
 
Back
Top Bottom