Mmasai na docta

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Mmasai moja alikwenda hospitali na baada ya dokta kumpima ilibidi amdunge sindano ya makalio.wakati dokta anamdunga sindano mmasai alimfokea dokta na kumwambi "yero! Kwani wee apana kuona hio tundu hapo nyuma mpaka unatoboa ingine??"
 
ha,ha,ha,ha,haaaa.... Yaukwel hii
 
We, we, we, wakikusikia wenyeweeee!

Shauri yako!

Duh! maskini Mmasai keshakuwa na matundu mawili tena.
 
:becky::becky::becky::becky::becky: teh teh teh :becky::becky::becky:
 
Mbona tundu ingine alitaka achomwe paleeeeeeeeee!!!!!!
 
Mmasai moja alikwenda hospitali na baada ya dokta kumpima ilibidi amdunge sindano ya makalio.wakati dokta anamdunga sindano mmasai alimfokea dokta na kumwambi "yero! Kwani wee apana kuona hio tundu hapo nyuma mpaka unatoboa ingine??"

hahahaaaaaaaaaaa hiyo kali kinoma anataka atoboe SAKAYONSA???
 
wakikuskia wataanza msako wa computer zote na kuzifunja vunja wakijua ni computer ndo zimewatania tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…