Mmasai mahakamani

Rosweeter

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
1,172
Reaction score
4,435
Baada ya masai kupinga shitaka la wizi lililomkabili kwa nguvu zote, ulipofika wakati wa kujitetea mambo yalikuwa hivi:

Hakimu: Mshtakiwa una swali lolote kwa shahidi

Masai: Ndiyo bana Hakimu, ndugu shahidi kama uliniona naiba unawesa kuiambia mahakama nilikuwa nimefaa nguo rangi gani?

Shahidi: Ndiyo, ulivaa nguo ya bluu

Masai: Mekosea, nilikuwa mefaa nguo nyekundu
 
Aisee tutakutoa ngeu1 endelea na utani wako ila utakuja uumie
 
Masai : Hivi huko jela kuna mushele (akimaanisha wali)
hakimu : Ndio
masai ; ongeza yeye mwaka ingine!
 
masai: hivi uko jela iko masiwa?
Hakimu: mara tatu kwa wiki.
Masai: na nyama?
Hakimu: kila siku.
Masai:funga mimi maisha
 
Hahahahahahahahahahaha...
Cheza na wamasai wewe?
Wataku-mkuki!!!
 
Hatimaye masai akafungwa miaka 10, hakimu fanya namuna hii gawa miaka 5 kwa mujomba yangu na ingine 5 kwa mama yoyo mimi acha iendelee na mambo yangu
 
Huwa nikiwa na stress nakuja kuziangushia hapa! Well done guys!
 
Hakimu hakumwongeza miaka mengine zaidi? Hahahaha. Nalog off
 
Mmmh..mmh mmh..
Masai wa siku hz wajanja ila mabahiri ( wabanizi wa fedha)
 
Very judi vijana angu nime enjoy sana nalala with peace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…