Walipokuwa wanajisifia walikokuwa wanatoka,
Mmarekani akasema, "I'm from New York City!
Muingereza akasema !I'm from London City"
Mtanzania aliyekuwa anarejea toka hospitali alikofanyiwa upasuaji wa kidole-tumbo akasema:
"I'm from "Apendicity" huku akikunjua shati na kuonesha bendeji iliyoziba jereha kutokana na upasuaji huo.