Mmarekani afanyia kitu mbaya dada yetu wa Kitanzania kamtumia mbwa kumwingilia

Hawa wasichana nao mbona wanahangaika sana!!! Hii ndio mshahara wake. Hawajui kuwa uchangu dhambi??? Tena wengine wanakufa na hao hao wazungu. Sijui tufanyeje maana hawaachi kwa hiyo hii itaendelea. Si mara ya kwanza hiki kutokea.
Wana JF.
Raia mmoja wa Marekani (jina tunalo) amemsakizia mbwa, msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, na kumsimamia mbwa huyo katika kumwingila msichana huyo kinyume cha maumbule na kumsababishia maumivu makali.

Mzungu huyo ambaye ni mhandisi wa umeme katika mradi mmoja wa umeme wilayani Kiteto, alifanya hivyo januari Mosi mwaka huu, muda mfupi baada ya yeye mwenyewe, kumaliza kumbuka msichano huyo.

Habari zilizothibitishwa na diwani wa kata ya Matui, Othaman Kidawa.

Alisema unyama huo ulifanyika baada ya mhandisi huyo kumnywesha msichana huyo pombe.

SOURCE: MWANANCHI JANAURI 7 2012
 
Kwanini alikunywa pombe nyingi? Tusitetee ujinga. Mzungu ana kosa lakini huyo dada pia ana kosa kubwa. Kwanini alilewa kupindukia?? Mbona hata weusi wenzetu wanawafanyia vibaya watu wanaolewa kupindukia? Kuna kesi hata wanaume wamefanyiwa mbaya kwa kulewa kupindukia. Suala hapa ni kuwa tujiheshimu wakati wote. Haya hayatatokea. Kwani lazima watu wanywe pombe? Lazima mjue kuwa matendo mtu ayafanyayo leo ni destiny yake ya kesho. Dada alitakiwa kujichunga haya yasingemtokea. Hata hivyo mzungu simtetei sheria ichukue mkondo wake. Hakutakiwa kumfanyia huo unyama.
Wewe ndio akili ukwaju kabisa nani kakuambia huyo dada ni changudoa?

Huyo mzungu kafanya unyama huo baada ya kuona huyo mwanamke kapoteza fahamu baada ya kunywa pombe nyingi.

Hivi angekuwa dada yako ungesema hivyo?
 
Hata kama ni kwa tamaa au uzembe wa kulewa hakuna mwanamke anastahili kubakwa au kunyanyaswa kimaumbile....Namuombea nguvu na amani,inaumiza sana!!
 
nipeni jina kamili la huyo mzungu alafu nipeni siku 7.muone tamfanya nn huyo shetani.na hukum yake taipeleka kishetani.ajali.kifo ndio saizi yake.nipeni jina kabla ya saa 12 jioni.nawapenda watu hawa ili niwaonyeshe bibi na babu wa kiafrica wameturithisha nn yy si anajua kuzibua wenzie nipe jinalake mtamuhurumia.Ni kumtoa duniani tu itjulikana hukohuko.
 
Huu mchezo bado tu unaendelea yalishatokea haya miaka ya Nyuma maeneo ya Coco beach na mtuhumiwa alifukuzwa tu nchini, Huyu yapaswa apewe adhabu kubwa tena hapa hapa kwetu wenzao wakijajua hawatafanya makosa kama haya
 
Nampa pole huyu dada yetu! Lakini na nyinyi dada zetu kuweni makini na watu/wazungu wengine, sio kila mzungu ni Padre, wengine ni majambazi na wahuni kama huyo! Sasa mkimaindi pesa tu bila kuwa makini, matokeo yake ndo hayoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana dada.
 
Tanzania haiwezi kuendelea bila uwekezaji, hiyo ndio sera yetu ya kitaifa. Wawekezaji watawekeza katika sector zote, na wataandaliwa mazingira bora ya kuwekeza.
 
Huyo apigwe mvua si chini ya 30.

Hapo ndipo tunapokosea.

Huyo na yeye aingiliwe na mbwa (masaburi) na kisha afungwe kifungio cha maisha, ili kwamba na yeye ajue maumivu aliyomsababishia binti wa watu.

Hii ya kusema umfunge mtu tu hata kama maisha bila ya yeye kufanyiwa kitu alichomfanyia mwenzake me naona haijakaa sawa. Abakwe huyo na Mbwa yule yule aliyembakisha mwenzake.

ZuKU
 
wazungu oyeeee,nasubiria watu wanirushie vijembe........nitavijibu nikirudi spain nilikoenda kwa ajili ya vacation

Wadhungu wa Spain wana tabia hizo sana. Angalia wasikufanyie kama mwenzako....
 
MM nashauri wadada zetu wasitangulize pesa, wajue wazungu wengi walioko huku kwetu wengine kitabia wameshindikana katika nchi zao, katika kuwasaidia wamewaleta huku ili kupunguza fujo, wengine ni wafungwa wa makosa ya jinsi hiyo.

wazungu wameharibika, kubaka, kulawiti na kufanya mapenzi na wanyama au kufunga ndoa na wanyama kama mbwa ni sehemu ya desturi ya wazungu, kwahiyo wadada mnaotaka fedha zao mtaishia kuliwa na mbwa, acheni tabia za tamaa.

megukieni Mungu, mtakwisha
 
Wana JF.
Raia mmoja wa Marekani (jina tunalo) amemsakizia mbwa, msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, na kumsimamia mbwa huyo katika kumwingila msichana huyo kinyume cha maumbule na kumsababishia maumivu makali.

Mzungu huyo ambaye ni mhandisi wa umeme katika mradi mmoja wa umeme wilayani Kiteto, alifanya hivyo januari Mosi mwaka huu, muda mfupi baada ya yeye mwenyewe, kumaliza kumbuka msichano huyo.

Habari zilizothibitishwa na diwani wa kata ya Matui, Othaman Kidawa.

Alisema unyama huo ulifanyika baada ya mhandisi huyo kumnywesha msichana huyo pombe.

SOURCE: MWANANCHI JANAURI 7 2012

hii hatari, iliwahi kutokea Mwanza, mzungu alifungwa kama sikuchanganya madesa
 
Wana JF.
Raia mmoja wa Marekani (jina tunalo) amemsakizia mbwa, msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, na kumsimamia mbwa huyo katika kumwingila msichana huyo kinyume cha maumbule na kumsababishia maumivu makali.

Mzungu huyo ambaye ni mhandisi wa umeme katika mradi mmoja wa umeme wilayani Kiteto, alifanya hivyo januari Mosi mwaka huu, muda mfupi baada ya yeye mwenyewe, kumaliza kumbuka msichano huyo.

Habari zilizothibitishwa na diwani wa kata ya Matui, Othaman Kidawa.

Alisema unyama huo ulifanyika baada ya mhandisi huyo kumnywesha msichana huyo pombe.

SOURCE: MWANANCHI JANAURI 7 2012

ni vema ungeripoti polisi pia,
nawaombeni kinadada tuache kubabaika na wageni haswa wazungu hayo ndo madhara yake.
Pole sana kwa yaliyomkuta.
 
Hawa wazubgu takataka kabisa wanakuja kunyanysa watoto,dada zetu hapa nawanaachiwa hivi hivi hivi jina lake ni nani kwa nini wanaachwa tu bila mkono wa sheria
 
wazungu oyeeee,nasubiria watu wanirushie vijembe........nitavijibu nikirudi spain nilikoenda kwa ajili ya vacation

Inawezekana na wewe huko umeenda kufanya ujinga huo huo ndiyo maana unachekelea. Midada mingine bwana!! Ovyo!!!
 
Back
Top Bottom