Mmakonde kwa utambulisho! Usipime! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmakonde kwa utambulisho! Usipime!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ralphryder, Mar 9, 2012.

 1. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Anamtambulisha mdogo wake kwa rafiki zake'," Rafiki jangu,nyie kummona uyu bwana ndogo, yeye wa kunifatia mimi. Baada ya kuzaliwa mimi,na ule nchezo kumnogea mama,basi ndo kumpata huyu ndogo wangu tumbo moja, baba mmoja mama mmoja".
   
Loading...