Isaac JK
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 563
- 92
(((((MMACHINGA))))))))
Hapo zamani kulikuwa na MMACHINGA mmoja hivi ,alikuwa anauza Kofia ,na kila akirudi nyumbani yeye hupita njia moja polini , kutokana na uchovu wa safari yeye Mara nyingi hupumzika katika Mti mmoja hivi wenye Kivuli ili asipigwe na JUA kali la MChana, Hivyo Basi hujitua Gunia Lake Zuli lililo Jaa Kofia na Kuliweka Pembeni , Baada ya Masaa Machache alisinzia kutokana na Uch...ovu.
Mda mfupi baadae anaamshwa na Kelele za Ajabu ajabu,kuamka anakuta Kofia Zake Zote Hazipo ,mara akaona nyani juu ya Ule Mti alio kuwa amelala Kwa chini , Nyani wale walikuwa wengi na Wote walikuwa wamevaa Kofiaa zake .Jamaa alikaa chini na kufikiria atafanyeje aweze pata kofia Zake ???
Aliwaza na Kuwazaa kisha akaanza kukuna kichwa chake, baada ya sekunde kadhaa kakgundua kuwa NYANI nao wanafanya kama yeye Yani wanamuiga , akaamua kuangalia Kofia yake , mara nyani nao wakavua na kuanza kuangalia kofia zao ,aka pata Idea kuwa Bora atupe Kofia Yake , akatupa kofia Chini , Nyani nao wakatupa Kofia zao Pia , Kwa haraka akachukua zile kofia walizo rusha na kuweka kwenye kiloba Chake , hivyo akapata kofia zake zotee..
BAADA YA MIAKA 50
Yule kijana Bwana alikuwa mzee na Mwanane nae Bwana MUNGU mkubwa alikuwa mkubwa akaja kuwa MMACHINGA na alikuwa anauza Kofia kama Babu Yake , kwakua alisikia mmachinga aliwahi kusikia Story ya Wale Nyani toka Kwa Babu Yake ,Siku Moja kama Babu Yake alipita katika Msitu mmoja Hivi akitoka Kuuza Kofia MNADAni , kulikuwa na jua Kali ,alipita chini ya MTI na kujisaidia hajandogo kisha akapumzika na kuweka kiloba Cha Kofia , kisha kama Kawaida Akapitiwa na Usingizi akiwa kapumzika, alishituka na kukuta kofia zote Hamna ,kiloba tupwa kule kucheki Juu akawaona NYANI na kofia , alipo cheki juu ya Mti aliona Nyani wamevaa Kofia zake.
Hapo Hapo alikumbuka Ile Story Ya Babu Yake Bwana , akaanza kujikuna Kichwa na NYANI nao waliiga na Kuanza kujikuna Kichwa , baada ya dakika kadhaa alitoa Kofia na Kuanza Kujipepea na Nyani nao Kama Kawaida wakaanza Kujipepea wakimuiga . Akiwa na furaha kujua WAZO la babu yake MTATA linafanya Kazi.
.
.
.
.
Dogo alirusha Kofia Chini Lakini alishangaa Kuona NYANI hakuna Hata mmoja alierusha Kofia Chini, Mara NYANI Mmoja akashuka Chini ya MTI na kuichukua Ile Kofia Aliyo Tupa Dogo na Kumfuata na kumtandika KOFIIII na Kumwambia
" KUDADADEKIIIII WEWE FALAA KWELII UNAFIKIRI WEWE PEKEE NDIO UNA BABU ENHEE "