Mlolongo wa michepuko

Mlolongo wa michepuko

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Bosi anamwambia sekretari wake wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.Sekretari anamuaga mumewe kwamba anaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. Mume anampigia mpango wa kando wake na kumwambia kwamba mambo safi, kua wife anaenda kikazi Serena, kwaio wajitayarishe wajipe raha for 1 week..

Mpango wa kando anamwambia mwanafunzi wake wa tution kwamba wiki hii ana kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo. Naye mwanafunzi anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo bosi anamwambia hakuna tution wiki hii na anakuja kwake…..Bosi anamwambia sekretari wake kwamba haendi tena serena tena coz mjukuu wake atamtembelea.

Sekretari anamwambia mume wake kwamba haendi tena Serena..
Mume anampigia mpango wa kando "dah! mpenzi, huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi next time plz"!...naye bila kuchelewa mpango wa kando a.k.a teacher anampigia mwanafunzi na kumjulisha kua darasa kama kawaida litakuepo na anamuomba radhi for the earlier message.

Mwanafunzi anampigia sugar daddy wake "darling tution inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!"Bosi anamjulisha sekretari kwamba ajitayarishe ile safari ya Serena iko palepale……
 
Back
Top Bottom