Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 1,309
- 3,166
Wanafunzi wa udaktari huanza mafunzo awali kwa kujifunzia cardavers( miili ya watu waliokufa ) halafu baada ya hapo hupata mafunzo darasani.
Wanapokuwa internships wanafunzi hao hufanya mafunzo na kazi huku wakiwa chini ya usimamizi maalumu wa madaktari walio senior kitaaluma kwao.
Dhana ya kwamba wanaotibu watu mloganzila ni wanafunzi haina mashiko ingawa dhana imejengeka kwa wengi.
Ukisomea ufundi makenika utajifunzia kwenye magari, ukisomea udaktari wa mifugo utajifunzia kwenye mifugo hali kadhalika kwa wanaosomea udaktari wa binadamu.