Mlo wa mtu wa hali ya chini Tanzania....

Mlo wa mtu wa hali ya chini Tanzania....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11022586_785081748246454_7385463003464807429_n.jpg
 
Milo wa maana sana huo mkuu. Nikitoka hapo nguvu za kiume kibao. Si sawa na chipsi mayai zinazopunguza nguvu vijana wetu.
 
vijana wa kidaslamu hawali hii wao ugalia wa sembe usiokuwa na chocchote
akikutana na kibaka anampiga kwa gazeti
 
aiseeee asubuh yote hii vimenukia mihogo samaki saaaafi kabisaa
 
Webwana wacha umenikumbusha hm leka tutigite kgm, huo ndo msosi unakunywa maji jag
 
Back
Top Bottom