Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
ππ iyo ngumu ina umaWe jamaa uchawi wa kupika Mimi muda na kuosha vyombo baada ya kushiba.
NdioNdio supu ya ndizi hiyo?!!
Vidole vyakoNdizi zimesimama kama ...
Wanywaji wa pombe vitu
Angalia kwenye picha ya mwisho niliziacha mbonaUngeacha basi hata ndizi zilainike kidogo jamani,. Mbona zimesimama sana??
Utadhani zina upwiru kwa namna zilivyosimamaUngeacha basi hata ndizi zilainike kidogo jamani,. Mbona zimesimama sana??
Suruasi?Ndio
Kama zipo chaputaVidole vyako
Genye izoUtadhani zina upwiru kwa namna zilivyosimama
Kwani na familia kubwa πMbona km kidogo sana au ni za mfano tu ππ
UshakubuuKama zipo chaputa
Leo pishi lako na mwandiko ni sawaGenye izo