Mlitumia njia gani kupata Scholarship india?

Mlitumia njia gani kupata Scholarship india?

tss

Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
73
Reaction score
41
Habari wakuu,

Hivi kwa wale waliosoma India Kwa ngazi ya degree Kwa kudhaminiwa Kila kitu nilikuwa naomba kujua mbinu gani iliwasaidia kupata scholarship. Scholarship walipata vipi na je, scholarship lazima ulipie fedha ndo upate?Na je, ni pesa kiasi gani inahitajika ili uweze kuomba scholarship?

Jamani Kwa waliopata scholarship ya full funded nchini india msaada jinsi gani mlifanya mpaka mkapata
 
Back
Top Bottom