Mlipuko wa mabomu Mombasa

Mlipuko wa mabomu Mombasa

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,351
Reaction score
38,941
napata taarifa kwamba kumetokea milipuko ya mabomu mwembetayari na nyali beach mbs.inakadiriwa watu watatu wamefariki. source ntv news
 
al shabab hao tna.....kenya wanaooo haoo
 
Kuna club zangu Msa ambazo ni never miss nikiwa ule mji wa maraha. Florida beach na Flamingo. sasa inabidi nijipange upya nikienda mwezi ujao.
 
kukumbatia watu wa kila aina kuna uzuri wake lakini kuja kujinasua ni shughuli.
 
Unajua JK ni mtu mwenye akili sana nyie hamjui tu.., alipowabamiza za uso wale M23 (Wa PK) akafukuza taka taka zote za kitutsi sasa tupo swafi kabisaa.., sasa huyu Uhuru yeye kaenda kupiga nyoka somalia huku analea vitoto vya nyoka nchini mwake.., sasa wacha vimn'gate.., walitusema sana tulivyo watimua wale watutsi...!
 
Presidaa alikurupuka kudai mapambano na ugaidi akidhani atyaweza, akomae nao tu.
 
Poleni sana wenzetu wa Mombasa.
 
Unajua JK ni mtu mwenye akili sana nyie hamjui tu.., alipowabamiza za uso wale M23 (Wa PK) akafukuza taka taka zote za kitutsi sasa tupo swafi kabisaa.., sasa huyu Uhuru yeye kaenda kupiga nyoka somalia huku analea vitoto vya nyoka nchini mwake.., sasa wacha vimn'gate.., walitusema sana tulivyo watimua wale watutsi...!

Una maana OPERESHENI TOKOMEZA?
 
Mombasa it most enjoyable place in east Africa but now mhhhh. It better you go Kampala or Kigali for enjoy with wife. Zanzibar it worse now especially if am know you are not muslim. Why do muslim like to see blood spilled ? What you get to kill mistakeless child?!""! it enjoy to see dead woman ?
 
Back
Top Bottom