Mlipuko wa korona usitusahaulishe uwepo wa magonjwa mengine

Fazz

JF-Expert Member
Mar 14, 2019
362
571
Hallo wana jf hop mko poa na mnaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya korona yes ni jambo muhimu sana

Nimeandika uzi huu ili kukumbushana kwamba japo tunachukua tahadhar dhid ya covid19 pia inatupasa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa mengine kama

1. Ukimwi aka baba lao

2. Malaria bd ipo na inaua

3.Kisukari yess tumejisahau mlo na wengi hatufanyi mazoezi. Bado kisukari kipooo

4.Blood pressure

5.Kipundupindu nk

Na mengine mengiiiiiii sn.
#stay safe
Nb; mnaokaa mabondeni mtapon koron mafuriko yatawaua msipochukua tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena kweli mkuu, sikuhizi hata mtu akifa kwa ugonjwa mwingine watu wanadai ni corona. Magonjwa mengine yapo kazini pia, au ndo kipya kinyemi!
 
Back
Top Bottom