Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,096
- 165,902
- Thread starter
-
- #21
Mafundi welding wote. Jihadharini na kuchomea ma tank. Toka nakua na akili,watu wengi wamekufa wakichomelea ma tank ya petrol,diesel au gas. Jiangalieni tafadhali.
Acha usengerema jmaa kuomba picha. Kuna ubaya ganikaangalie picha ya bibi yako ili uote usiku mkuu,,we si unapenda picha
Huyu alikua pale mbele ya Salender kama unatoka mjini. Wamekata mikoko waweke bango. Wanamazingira tumesha wa maind!Kweli mkuu OSHA sielewi kazi yao, kuna kazi zinafanywa bila usalama hata kidogo
huo ni mfano tu japo sio hapa tz.
Duuuu?mkuu ungemjibu tu kwa ustarabu nadhani angekuelewa!!Kulikuwa hakuna haja ya kumwambia akaangalie picha ya bibi yake!!!kaangalie picha ya bibi yako ili uote usiku mkuu,,we si unapenda picha
kaangalie picha ya bibi yako ili uote usiku mkuu,,we si unapenda picha
Huyu alikua pale mbele ya Salender kama unatoka mjini. Wamekata mikoko waweke bango. Wanamazingira tumesha wa maind!
A huge explosion has been heard
around Tabata in Dar es Salaam.
We saw black smoke rising up in
the air from nearby Tabata Oilcom.
My office door felt like being ripped
off by the massive gigantic bang.
So far we cannot confirm what
happened, lets hope the security
agencies provide an update on this.
......................................Update on the Tabata Dar es Salaam
explosion an hour ago. Three welders
have lost their lives instantly while
welding a tanker. The tanker was
being welded at Ally Shum Co. Ltd ,
Tabata , Dar es Salaam.
Elimu ya usalama kazini bado sana TZ. Osha wamekaa tu maofisini
Duh oil com ipi iyo mkuu?
Mungu aendelee kututetea makazini mwetu
Mafundi welding wote. Jihadharini na kuchomea ma tank. Toka nakua na akili,watu wengi wamekufa wakichomelea ma tank ya petrol,diesel au gas. Jiangalieni tafadhali.
kaangalie picha ya bibi yako ili uote usiku mkuu,,we si unapenda picha