Mlipuko Tabata waua watatu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,007
Reaction score
165,530
A huge explosion has been heard
around Tabata in Dar es Salaam.
We saw black smoke rising up in
the air from nearby Tabata Oilcom.
My office door felt like being ripped
off by the massive gigantic bang.
So far we cannot confirm what
happened, lets hope the security
agencies provide an update on this.
......................................Update on the Tabata Dar es Salaam
explosion an hour ago. Three welders
have lost their lives instantly while
welding a tanker. The tanker was
being welded at Ally Shum Co. Ltd ,
Tabata , Dar es Salaam.
 
Poleni sana pamoja na ndugu wa waliopoteza maisha, tunasubiri taarifa zaidi
 
...

....Rip

Tajiri mwenye tanker tunza familia zao !!!
 
ajali tena..hawa OSHA wako wapi...?
 
RIP marehemu wote.

Poleni familia za wafiwa.

Kama kuna uzembe wahusika wachukuliwe hatua
 
Elimu ya usalama kazini bado sana TZ. Osha wamekaa tu maofisini

....Inasikitisha sana Mkuu Bujibuji !!!

Tajiri ataenda bima atalipwa ila hawa ndugu zetu waliopoteza maisha sizani kama hata familia zao zitaangaliwa.....
 
Mafundi welding wote. Jihadharini na kuchomea ma tank. Toka nakua na akili,watu wengi wamekufa wakichomelea ma tank ya petrol,diesel au gas. Jiangalieni tafadhali.
 

Bujibuji, Oilcom Tabata ziko mbili maarufu: Moja ni Tabata- Shule na nyingine ni Tabata-Segerea, je ni ipi kati ya hizo?!
 
Elimu ya usalama kazini bado sana TZ. Osha wamekaa tu maofisini

Kweli mkuu OSHA sielewi kazi yao, kuna kazi zinafanywa bila usalama hata kidogo
huo ni mfano tu japo sio hapa tz.
 

Attachments

  • 1396455816152.jpg
    39.3 KB · Views: 592
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…