Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Ushabeki ukizidi mtu anajikuta anasema lolote kufurahisha nafsi - tangu lini majaribio ya silaha yakafanyika kiwandani?Iran hawajafanya chochote embu soma upya hayo yalikuwa majaribio ya silaha
Majaribio ya kutumia computer ku-simulate milipuko ambayo ni virtual not real one hiyo yes, lakini hapa Israel imekili kwamba uharibifu/mlipuko ulikuwa real - kwa nini to rule out Iranian sabogate, au mnafikiri Israel ni untouchable?
Hata Trump mwanzoni alipuuzia onyo la Iran kuhusu ulipizaji kisasi wa mauuaji wa Jeneral wao, sasa nini kilikuja kutokea baadae, Wairan walitekeleza ahadi zao kwa kushambumbulia vikali makambi mawili ya jeshi la Merikani ikiwemu na ranways pia wanajeshi karibu 180 walijeruhiwa licha ya kuwa wamejichimbia mahandakini uharibifu ulikuwa mkubwa sana. Mbona hatukuona Trump anajibu mapigo, unataka kusema jeshi la Israel lina uwezo mkubwa kuliko jeshi la Merikani ndio maana Iran hajalikipiza kisasi dhidi ya Israel - far from it - Iran itakuja kuwashangaza wengi na uzuri wake hatishwi na taifa lolote hapa Duniani.