Mlipuko Mkubwa watokea katika Kiwanda cha kutengenezea Makombora uko Israel

Tuliwaambia humu mkabisha ona sasa mnavyolialia
"The explosion occurred during a routine test at the Tomer factory for advanced weapons, which develops rocket engines and houses various types of missiles," Haaretz newspaper said.

Zingatia hayo maneno in red. La muhimu zaidi "there were no injuries". Ajali pahala pa kazi (factory) ni mambo ya kawaida sana. "Large explosion in a missile factory" halafu hakuna majeruhi sio mchezo mchezo; akili nyingi zimetumika hapo! Ingekuwa ni kazi ya waajemi ningewasifu kwa "weledi" wao pia; bahati mbaya habari nao (waajemi) wamezisikia kupitia media kama wewe tena masaa kadhaa baada ya tukio.
 
Ha ha ha wakati israel kapewa kichapo jana na iran ha ha ha masaa matatu mbele israel ikaenda kufanya mashambulizi syria. Oooh syria nao wakavunja ukimya wakajibu shambuliz la kwa kufyatua kombora moja kuelekea israel kombora lilifanikiwa kuhit target
Juzi Putin aliwambia Israel kuwa siku tukianza kuwaruhusu Syria kujibu msije mkatulaumu
 
"The explosion occurred during a routine test at the Tomer factory for advanced weapons, which develops rocket engines and houses various types of missiles," Haaretz newspaper said.

Zingatia hayo maneno in red. La muhimu zaidi "there were no injuries". Ajali pahala pa kazi (factory) ni mambo ya kawaida sana. "Large explosion in a missile factory" halafu hakuna majeruhi sio mchezo mchezo; akili nyingi zimetumika hapo! Ingekuwa ni kazi ya waajemi ningewasifu kwa "weledi" wao pia; bahati mbaya habari nao (waajemi) wamezisikia kupitia media kama wewe tena masaa kadhaa baada ya tukio.
Iran inaposema italipiza kisasi ujue italipiza
 
Tumia akili ya kuzaliwa kusiwe na injuries kwenye kiwanda kwa mlipuko mkubwa kama ule walikua wanatumia remote kuendesha hicho kiwanda wao wanakaa mbali...wayahudi huwa hawapendi kutangaza vifo mara nyingi yanapotokea matatizo ya kibinadamu..
 
... lete reliable source kwamba kulikuwa na majeruhi.
 
Palestina na wana wa Israeli wasipoweka tofauti zao pembeni, kile kisehemu chote kitapotea na hamna mtu atakayebaki!

sisemi kuwa chanzo ni Mpalestina ila, kila serikali ina wazee wa kazi, huwezijua.

I am not ruling out 1 of 99 possibilities!
 
Naona uzi umejaa propaganda wengne wanakurupuka huko mara syria kapga israel hawana hata source mara putin kawambia israel sku akruhusu syria kujbu wasmlaumu hakuna source tupen bas link.
Nnachojua putin yuko busy na ukraine na nato kwasasa. Pili msahau urusi kumgusa myahudi.

Syria kama anajiweza kuna eneo lake la golan anasubiri nn kuwafurusha wayahudi pale au napo putin ndo anazuia.
 
... lete reliable source kwamba kulikuwa na majeruhi.
Naskia jana mmechezea kichapo kuanzia asubuhi jioni na usiku, kuna video nimeiona wayahudi wanakimbizana usiku huku milipuko ikilia, jana Syria walijibu mapigo missiles zilipiga ndani ya Israel, unaambia Israel inasema hili sio jambo la kawaida kutokea
 
Naona uzi umejaa propaganda wengne wanakurupuka huko mara syria kapga israel hawana hata source mara putin kawambia israel sku akruhusu syria kujbu wasmlaumu hakuna source tupen bas link.
Nnachojua putin yuko busy na ukraine na nato kwasasa. Pili msahau urusi kumgusa myahudi.

Syria kama anajiweza kuna eneo lake la golan anasubiri nn kuwafurusha wayahudi pale au napo putin ndo anazuia.
Jana Syria kajibu kumesikika miripuko mingi Israel jana, Israel inasema kuwa S-200 ya Syria ilikua active katika kukosea kulenga ndege yao ndio missiles za hio S-200 ziliangukia Israel but waandishi wa habari wanajiuliza kuwa kwann Israel haikuintacept hizo missiles za airdiffence ya Syria yaani zimeingia kirahisi na kupiga ndani ya Israel?
 
Kwa hiyo siku hizi test za explosion zinafanyika kiwandani?

Navyofahamu Kuna testing centres za kufanyia hizo test na sio viwandani.

Pili hata Kama kungekuwa na majeruhi vifo etc usitegemee watasema.

Subiria utasikia Israel wakisema"tumelipiza kisasi" kwa kuhusika kulipua kiwanda chetu
 
Back
Top Bottom