Mlipuko Mkubwa watokea katika Kiwanda cha kutengenezea Makombora uko Israel

Kuna video hapo ifungue uione taharuki wayahudi wanavyokimbizana kwenye miji, tuliwaambia humu siku yenu inakaribia
... fake news! Sio tena Radio Tehran International? Tangu lini umeanza "kuwaamini" wamarekani?
Video purportedly shows Israelis running in panic after missile fired from Syria lands near Dimona nuclear facility https://t.co/d5f6hmAWhg
 
... ha ha ha! Hawa nguchiro kazi sana Mkuu! Wamejazana humu kuwapa credits waajemi - STRUGGLE MAN
Tomer and Dimona Accidents in less than 48h! Zionist Regime after #Natanz Attack has put Multi-tiered Network of Air and Missile Defense Systems on High Alert near the site of Dimona Nuclear Facility and Eilat Port. However, Patriot, Iron Dome, Barak ER and THAAD Systems failed.
 
Source zingine zinasema Israel alichokoza akapata majibu haya soma mwenyewe, sorry kwa wasiojua lugha iliyotumika

Angalia namna ya kutusaidia sorry haina maana hapa
 
Ha ha ha wakati israel kapewa kichapo jana na iran ha ha ha masaa matatu mbele israel ikaenda kufanya mashambulizi syria. Oooh syria nao wakavunja ukimya wakajibu shambuliz la kwa kufyatua kombora moja kuelekea israel kombora lilifanikiwa kuhit target
Yani hapo mashariki ya kati kama vile kuna mchezo wa kuigiza
 
Ikitokea Iran unakenua hadi njia ya nyuma inabaki wazi ila kwa kuwa imetokea Israel inakuwa ni jambo la kawaida 😲😲🥺🥺🥺
... ukikenua ndio huwa unakuwaga hivyo? Hebu ongea kiume usilete mambo ya kipuuzi hapa!
 
Iran short range and mediam range
... ukikenua ndio huwa unakuwaga hivyo? Hebu ongea kiume usilete mambo ya kipuuzi hapa!
Anyway Israel inajijengea kaburi lake na alichokitafuta mda mrefu atakipata
20210422_114515.jpg
20210422_090924.jpg
 
Upo kijana
... ha ha ha! Hawa nguchiro kazi sana Mkuu! Wamejazana humu kuwapa credits waajemi - STRUGGLE MAN
The Israelis lie lime cheap watches.
They claim it was an errant Anti Aircraft missile.
There is no anti aircraft missile that has that range to land in Southern Israel.
That was a ballistic missile and a good warning to Israel that nothing is safe in Israel.
Well done Syria/Iran
 
"The explosion occurred during a routine test at the Tomer factory for advanced weapons, which develops rocket engines and houses various types of missiles," Haaretz newspaper said.

Zingatia hayo maneno in red. La muhimu zaidi "there were no injuries". Ajali pahala pa kazi (factory) ni mambo ya kawaida sana. "Large explosion in a missile factory" halafu hakuna majeruhi sio mchezo mchezo; akili nyingi zimetumika hapo! Ingekuwa ni kazi ya waajemi ningewasifu kwa "weledi" wao pia; bahati mbaya habari nao (waajemi) wamezisikia kupitia media kama wewe tena masaa kadhaa baada ya tukio.
Mripuko kama ule ukose injuries mnaumwa nyie wayahudi c bure
 
Upo kijana The Israelis lie lime cheap watches.
They claim it was an errant Anti Aircraft missile.
There is no anti aircraft missile that has that range to land in Southern Israel.
That was a ballistic missile and a good warning to Israel that nothing is safe in Israel.
Well done Syria/Iran
kitu kibaya zaidi jamaa wametumia bomu la 1970s huko, sipati picha wakitumia 2021 deadly bombs ni kweli Israel inapotea kwa world map
 
Back
Top Bottom