Unahandikaje?Waharabu kazini.
Unahandikaje?
Mkuu omujubi Sio Uturuji ni Uturuki.Mlipuko nje ya Ubalozi wa Marekkani katika mji mkuu wa Uturuji, Ankara, umeua kwa uchache watu wawili, pamoja na taarifa kuwa ilikuwa ni bomu la kujitoa mhanga
More:
View attachment 81632
Mkuu Bujibuji Israil hawezi kuipumua Uturuki sahau kwa hilo. Israil ajaribu kwa IRAN Sio Uturuki usicheze na Mturuki weee chezea Mbwa Mwitu... Muulize Simba anaweza kuchezea Mbwa Mwitu?Mbombo ngafu, Uturuki inatafuta kupumuliwa na Israel
mkuu MziziMkavu, usinipe hata kaupenyo ka typing error??? Si unajua tena haya mambo ya technolojia yanavyotupa shida wengine! Nitajitahidi siku nyingine lakini kupunguza makosaMkuu omujubi Sio Uturuji ni Uturuki.
au anamaanisha hii, maana watu wengi wanaamini kuwa magaidi wote ni kutoka hiyo jamii!Yeye anajua ni waharabu tu, hakuna jengine.