Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,735 Reaction score 26,081 Feb 5, 2020 #41 Big Guy said: Ha ha ha ha ha, hii kitu ilinitokea pia mkuu ingawa wewe walikupiga parefu sana. Huyo mtoto mwisho wa siku atakuja kuwa msaada kwa familia zote mbili sijui kwa nini wanapenda kuweka fine kubwa hivyo. Click to expand... mimi nadhani walinipiga faini coz walinambia nitoe mahari ni muoe huyo mwanamke nkawapiga chenga ndo wakaona wqnipige hela kupitia mtoto
Big Guy said: Ha ha ha ha ha, hii kitu ilinitokea pia mkuu ingawa wewe walikupiga parefu sana. Huyo mtoto mwisho wa siku atakuja kuwa msaada kwa familia zote mbili sijui kwa nini wanapenda kuweka fine kubwa hivyo. Click to expand... mimi nadhani walinipiga faini coz walinambia nitoe mahari ni muoe huyo mwanamke nkawapiga chenga ndo wakaona wqnipige hela kupitia mtoto
Big Guy Member Joined Oct 17, 2018 Posts 92 Reaction score 102 Feb 5, 2020 #42 Kitombise said: mimi nadhani walinipiga faini coz walinambia nitoe mahari ni muoe huyo mwanamke nkawapiga chenga ndo wakaona wqnipige hela kupitia mtoto Click to expand... Aaah basi hiyo ndio sababu chief.
Kitombise said: mimi nadhani walinipiga faini coz walinambia nitoe mahari ni muoe huyo mwanamke nkawapiga chenga ndo wakaona wqnipige hela kupitia mtoto Click to expand... Aaah basi hiyo ndio sababu chief.
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,115 Feb 5, 2020 #43 Usimchunguze Bata,wewe kula tu, hakuna binadamu aliye mkamiifu Manifestation said: Suala ni kuishi na mwanamke halfu BDO kipochi manyoya kinaliwa nje kama kaww Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Usimchunguze Bata,wewe kula tu, hakuna binadamu aliye mkamiifu Manifestation said: Suala ni kuishi na mwanamke halfu BDO kipochi manyoya kinaliwa nje kama kaww Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Nandinii JF-Expert Member Joined Jun 19, 2019 Posts 2,572 Reaction score 2,829 Feb 5, 2020 #44 Chumchang Changchum said: Na baadhi wana ponzwa na wasio na subra.. Click to expand... kweli kabisa mkuu
Chumchang Changchum said: Na baadhi wana ponzwa na wasio na subra.. Click to expand... kweli kabisa mkuu
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Feb 5, 2020 #45 [emoji23][emoji23][emoji23] comments zenye I'd ya kiume zinanichekesha. Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] comments zenye I'd ya kiume zinanichekesha. Sent using Jamii Forums mobile app