Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
Tuendelee Kula kiaina ee, maana kama maziwa yanapatikana Kwa nini tufuge ngombeWe wala usilipe mahari mkuu, waache wanaotaka kulipa walipe. We jikalie tu unavyoona inafaa.
Hii ndo mbinu iliyobaki Ila wanawake WA mjini hawashiki mimba mzeee
Mpaka atake mwenyeweHii ndo mbinu iliyobaki Ila wanawake WA mjini hawashiki mimba mzeee
😳 !!wa zamani walikuwa wanarudia shule hata mara 5, haya, jita ndio walikuwavinara
mimi hilo jambo limenitokea, yani nilimnunua mtoto wangu kwa sh. 7ooooo. ndo nikapewa mtoto ila tayari mtoto alikuwa ameshatimiza miaka 3½Labda kama huyo mwanamke hana kwao. Kuna nyumba ukimtia mtoto wao mimba sahau km una mtoto kama hujajitambulisha, kulipa faini na kutoa mahari.
Unamtolea mahari mtu anayejiheshimu, ana subra, msikivu na mstahimilivu. Utamtoleaje mahari mtu ambaye yuko ovyo hana hizo tabia?. Hao uliowapata hawakuwa sahihi, walikuumiza ndy mana hukuona umuhimu ila siku ukimpt mtu sahihi ndy utajua ukatoe au lah. Watu sahihi wapo mkuu.
mimi hilo jambo limenitokea, yani nilimnunua mtoto wangu kwa sh. 7ooooo. ndo nikapewa mtoto ila tayari mtoto alikuwa ameshatimiza miaka 3½
Hata kama wamwambie mtoto kwamba baba yako alikufa kwenye tukio la kukanyaga mafuta hiyo haitaondoa ubaba wangu,wakae nae kabisa wamlee na kumlisha sumu lakini still mimi ni baba yake na haitokaa ibadilike.Labda kama huyo mwanamke hana kwao. Kuna nyumba ukimtia mtoto wao mimba sahau km una mtoto kama hujajitambulisha, kulipa faini na kutoa mahari.
Sio kwa maisha ya sasa bhna [emoji28] mambo yamebadilika mnoLabda kama huyo mwanamke hana kwao. Kuna nyumba ukimtia mtoto wao mimba sahau km una mtoto kama hujajitambulisha, kulipa faini na kutoa mahari.