Hata huyo ambaye unafikiri una uhakika naye, wapo wengine watatu nao Wana uhakika naye na wanapiga kavukavu,Kuna jamaa fulani wanne walitoa kila mmoja 150,000 kwa ajili ya kutoa mimba moja,na walikuwa hawajuani Siri ikaja ikavuja baadaye Sana,binti anakuwa na wanaume wanne halafu wote anawaambia ana mimba Ila anataka kutoa,kila mmoja akatoa mpungaKiufupi tu wanaume mtoto hakataliwi, mtoto sio nguo useme ikiongeza miaka hupoteza thamani.
Wanaume wengi miaka hii wamekua na tabia ya kutelekeza watoto kwa kuwatupia lawama wadada Lakini ukweli Ni kwamba mnakimbia majukumu na baada ya miaka mtoto akikua huwa mnarudi kwa fujo kudai mtoto.
Nawahusia tu, wenye tabia hiyo mfanyayo sio Kama hutaki kuzaa basi usifanye mapenz ya kavukavu na mwanamke yeyote tu except yule uliye na uhakika nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisaKwa tanzania asilimia 80 ya wanaume wanalea watoto sio wao tunaita sio biological father bali ni social fathers tu sema wanawake wana siri sana ndio mana zinawatesa wanaamua kwenda kushinda makanisani vifua vyao vimejaa mambo mengi sana. wanasema a woman heart is a deep ocean of secrets.
Ikiwa mama yake mwenyewe hajui baba wa mtoto,mtoto atamjuaje baba yake?Kwa asilimia 100% mtoto wa nje ya ndoa ndio anajua baba yake halali, ila waliozaliwa ndan ya ndoa almost 25% wanalelewa na baba ambao sio wazazi wao hali yan kiufupi hawajui na wenda wasije kujua kabisa baba zao halali
Unafikiri kwa sababu umezaliwa ndani ya ndoa huyo ndiye baba yako halisi?
[emoji16][emoji16][emoji16] neno kuntuKama unadhani kuzaliwa ndani ya ndoa ndio kuwa na baba wa halali pole sana unaweza ukwa umezaliwa ndani ya ndoa na huyo asiwe baba yako halali ukikuwa ndio utajua.
Sikujua kama ni kuntu limenitoka tu bahati mbaya ππ
Kumbe, si ajabu hata hujamaanishaSikujua kama ni kuntu limenitoka tu bahati mbaya ππ
kuna njia nyingi sana zakufikisha ujumbe unaweza ukaekiti umeropoka au kama unatania lakini ndio mtu anafikisha ujumbe hivyo π tusikifanye kila kitu kwa userious sana lakini ww umeelewa ujumbe wangu.Kumbe, si ajabu hata hujamaanisha
Namshukuru mama angu hakuwa kicheche asee.! Mie nimezaliwa kopy kabisa ya mzee wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app