AiseeMie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase alfu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida...
Hiyo ni issue ya baba yako wewe haikuhusu,umeshawahi kumsikia baba yako akitilia mashaka uzao wako! then kamtafute wewe baba unayehisi umetoka kwenye kiuno chake, vukitaka kuamini haikuhusu kamuulize mama yako “eti mama huyu kweli ni baba yangu?”Kama unadhani kuzaliwa ndani ya ndoa ndio kuwa na baba wa halali pole sana unaweza ukwa umezaliwa ndani ya ndoa na huyo asiwe baba yako halali ukikuwa ndio utajua.
ww unadhani kwann vipimo vya DNA ni gharama kufanya ukijua hili usini Quote tena?Hiyo ni issue ya baba yako wewe haikuhusu,umeshawahi kumsikia baba yako akitilia mashaka uzao wako!then kamtafute wewe baba unayehisi umetoka kwenye kiuno chake,ukitaka kuamini haikuhusu kamuulize mama yako “eti mama huyu kweli ni baba yangu?” atakachokujibu kitaiamsha akili yako kutambua kwamba hakuna duniani sheria ya binti kuzalia kwa baba yake bali akazalie kwa mumewe.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nashukuru kwa taarifa,Nisaidie namba ya baba yangu mzazi tafadhaliMbona wewe mama yako amekuzaa akiwa ndani ya ndoa na baba yako sio aliyenae kwenye ndoa? Hajakiambia bado? Pole sana huyo sio baba yako tuulize tuliokuwa tunatumwa na mchepuko wa mama yako (baba yako).
Hata Mimi nina uhakika nimepewa baba feki kwa sababu nafanana sana na mzee mmoja jirani yetu, na ndugu zangu wote wanafanana na baba (yao). kwahiyo ulichokisema ni sahihi kabisaKama unadhani kuzaliwa ndani ya ndoa ndio kuwa na baba wa halali pole sana unaweza ukwa umezaliwa ndani ya ndoa na huyo asiwe baba yako halali ukikuwa ndio utajua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetaharuki mkuu, kunani?nawe ni miongoni mwa wajinga wanaomiliki vichwa vibovu ambavyo kufikiria vyema hutegemea hali ya hewa...
ni hivi asilimia karibu 85 ya watoto wanaozaliwa ndani ya ndoa ni watoto wa michepuko alafu ulivomjinga unaanzisha uzi ukiwa hujui lolote...
any way subir upepo ugeuze maybe utaweza fikiri vema ukatengua kauli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ulipokuwa unakojoa uliona rahaa tu haya pambanaaMie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase alfu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida...
Wanawake bhana wanachekeshaga sana yan........akshakuwa single mom anakuwa muongo wa kufa mtu, mie nlizaa na binti bwana yan nilikoma, sio kwa mizinga hyo!!!! eti mtoto anaumwa kila wiki, mara mtoto wa kindergatten nilpie twishen, mie natumaga tu hela kumbe yote ni hewa.Wengi wenu mnawachukia sana wazazi wenu wa kiume, kwasababu mmejazwa sumu na mama zenu ila mama zenu nao wana madhambi yao tena makubwa waliyowafanyia baba zenu.
Mama yako ana mimba halafu anakuwa na kadi tatu za kliniki, kila kadi ina majina tofauti. Yaani wewe uko tumboni halafu una baba zako watatu. Sasa hao baba zako wakija kushtukia mchezo lazima wakimbie...