Mliozaliwa mjini tu

sometimes JF ina fanya mtu una ralax without any force
 
Hapa ni changa la akili..... Kalagha lalia bao.
 
JF ni stress free lol.. Maana nimechekaje hapa wakati ninasoma comments za members lol.. Masikini Madame S alikuwa anaamini kabisa kama kuna picha imewekwa lol..
 
Last edited by a moderator:
Mchizi alikuwa anacheza mabreka hatari, tulikuwa tunapoa nae mitaa ya Gongo La Mboto mwisho wa Lami
 
Mna tabia chafu mkaamua kutuwekea picha za mavi yenu.
Kama mna laana vile.
 
HARUFU acha mambo ya kitoto.
 
Last edited by a moderator:
Mchizi alikuwa anacheza mabreka hatari, tulikuwa tunapoa nae mitaa ya Gongo La Mboto mwisho wa Lami
acha uongo miaka ya 90 makazi ya watu Dar yalikuwa yanaishia maeneo ya kipawa, mwisho wa rami nk kulikuwa kumejaa ngedere tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…