Mliozaliwa mjini tu

sijiu anakula maharagwe ya wapi huyu....????
 
Hii hatar sana inaonyesha jinsi fikra zetu zilivyo..... Mtu anaweza kuwe picha yenye ujumbe mzur lakn asiwepo mtu wa kutoa koment ila mtu hajaweka picha yoyote lakn wachangiaji wameivamia kwa wingi wakat hamna chochote....
 
Daaahh mkuu Eddy Love umenikumbusha mbali kinoumer...ivi ile movie ya mwisho ya huyu jamaa ishatoka?
Anachezaga vitu vya ukweli kinomaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…