Mliowahi Na Mnaotumia TV BOX, Tupeane Uzoefu Kidogo

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Habari Za Muda Huu.

Katika pita pita zangu nilifanikiwa kuchukua LG LED TV 43'' .
Nilipenda SMART TV Lakini Kwa Sababu Naanza Kujipanga Basi Nikaona NiSave Pesa Kidogo Nichukue Na Dish.
Sasa Imekuja Hii Issue Ya TV Box. Nimeona Sokoni Zipo Za Aina Nyingi.
Mfano Kuna Za RAM 1GB, 2GB & 4GB.
Kuna Za HD, HDR + 4K.
OS Android 5, 6,7 Na 9
Pia ROM Zipo Za Storage Mbalimbali.
Na Specifications Nyingiii Tu...

Naomba Uzoefu Wenu Ipi Kwa Uchache Inaweza Kuendana Na Mahitaji Ya TV Yangu.

N:B High Tech High Price
 
Sema kwanza outcome. Unataka TV box ikusaidie nini??
Otherwise tutakushauri ununue TV box according to pesa yako
 
Sema kwanza outcome. Unataka TV box ikusaidie nini??
Otherwise tutakushauri ununue TV box according to pesa yako

Sasa Hivi Nina DSTV

Nataka Kupata Baadhi Ya Station Za Ndani Kama ITV Na Pia Baadhi Ya Station Za Azam, Lakini Pia Nataka Niwe Na Stream Video Za Youtube Kwenye 43" LED TV Yangu, Pia Nataka Nicheck Netflix, Nataka Kucheza Android Games Kama GTA

So Kuliko Kununua Dish Tena La Azam, Star Times, Ninunue Smart Tv Nyingine Kwa Ajili Ya Youtube, Ninunue PS4, Ni Bora Tu Nikachukua TV Box Afadhali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
huoni kama ukiwa ni pc ni bora zaidi kwa hayo unayoitaji kuyafanya?

nb; tv box nyingi nzuri utazipata online store kama amazon na alliexpress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom