mliowahi kuagiza bidhaa kupitia kampuni ya Ebay

kadunga

Member
May 4, 2020
60
46
ndugu zangu leo nimetembelea huu mtandao nikiwa na haja ya kununua vitu kadhaa Ipad na ereader ila ashangaa items nyingi nazo zihitaji naona kuwa seller ha ship to my country wadau kuna njia nyingine?
Screenshot_20200523-100233.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia comGateaway mkuu. Ni jamaa wako marekani unasajili kwao wanakupa address yao infact wanakufungulia address ya marekani kwa jina lako na details zako vitu vinatumwa kule kisha na wao wanakutumia Tz. Kuna ka gharama kidogo sana kanaongezeka ila ni huduma ya uhakika na usalama zaidi. Na uzuri unakuwa unaweza kununua chochote utakacho
 
asante saana master

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tatizo la muda mfupi. Limesababishwa na airports nyingi kufungwa. Ila kwetu nimeanza kuliona baada ya anga letu kufungwa kwa ndege za abiria. So very soon mambo yatarudi kama zamani.
 
Tumia comGateaway mkuu. Ni jamaa wako marekani unasajili kwao wanakupa address yao infact wanakufungulia address ya marekani kwa jina lako na details zako vitu vinatumwa kule kisha na wao wanakutumia Tz. Kuna ka gharama kidogo sana kanaongezeka ila ni huduma ya uhakika na usalama zaidi. Na uzuri unakuwa unaweza kununua chochote utakacho
Kama kiasi gani hako kagharama mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ndio hivyo kama una ndugu yuko USA, akununulie, itumwe kwake. Kisha akutumie. Tatizo posta wanaiba sana. Jaribu kutumia EMS ambayo nayo ni posta lakini ni huduma ya juu zaidi. Posta kawaida kama first class package au priority wameshaniibia sana. DHL pia sio mbaya. Pia kumbuka watu USA wako busy kwa hio tafuta ndg wa uhakika. Asilimia kubwa hawatakusaidia. Hio comGateway ni nzuri. Lakini ni expensive. Yani hapo ni challenge tupu. Binafsi nikienda USA nafanya shopping ya vitu vyote nakuja na vitu vyangu kwa ndege. Otherwise, ndio kuibiwa na posta juu ya gharama kubwa au kitu kichelewe sana.

ndugu zangu leo nimetembelea huu mtandao nikiwa na haja ya kununua vitu kadhaa Ipad na ereader ila ashangaa items nyingi nazo zihitaji naona kuwa seller ha ship to my country wadau kuna njia nyingine?View attachment 1457287

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ndio hivyo kama una ndugu yuko USA, akununulie, itumwe kwake. Kisha akutumie. Tatizo posta wanaiba sana. Jaribu kutumia EMS ambayo nayo ni posta lakini ni huduma ya juu zaidi. Posta kawaida kama first class package au priority wameshaniibia sana. DHL pia sio mbaya. Pia kumbuka watu USA wako busy kwa hio tafuta ndg wa uhakika. Asilimia kubwa hawatakusaidia. Hio comGateway ni nzuri. Lakini ni expensive. Yani hapo ni challenge tupu. Binafsi nikienda USA nafanya shopping ya vitu vyote nakuja na vitu vyangu kwa ndege. Otherwise, ndio kuibiwa na posta juu ya gharama kubwa au kitu kichelewe sana.

mkuu mm natumiaga planet express na mzigo unafika salama kabisa, nisha agiza mara nyingi sana naninapokea posta salama

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom