Mkuu naona wote waliochangia hapo juu wamesoma juzi Tosa, mwenzenu nimesoma pale enzi za Mpogole (Dudu) na maeneo yetu ya kujidai yalikuwa Msombwe, Itamba na mara moja moja Kalenga. Mimi niko Ughaibuni ila mkianzisha akaunti maalum mchango wangu ni wa kufikia tu.