Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
Ni mwaka 1985
JF kuna wazeeee! mmh haya bwana
Ni mwaka 1985
Nani ambaye hajasoma shule ya msingi anamiliki vifaa vya mawasiliano?
mmmmhh!!!kumbe wadau wengi humu jf wa long sana,around miaka ya 70s na 80s ndo wanasoma sizitaki mbichi hizi!!,ndo maana maana hapa kuheshimiana kunahitajika maana waweza kuta unatoleana mbovu na babu yako.Sie wengine hiyo story ni ya miaka ya 2000s
mmmmhh!!!kumbe wadau wengi humu jf wa long sana,around miaka ya 70s na 80s ndo wanasoma sizitaki mbichi hizi!!,ndo maana maana hapa kuheshimiana kunahitajika maana waweza kuta unatoleana mbovu na babu yako.sie wengine hiyo story ni ya miaka ya 2000s
Siku hizi hakuna watunzi wa vitabu kama zamani
siyo wazee tu hadi vibabu na vibibi vipo humu
Ni mwaka 1985
mie naukumbuka kwa wewe ilikuwa 2005 ndo upo la kwanza[/QUOT
inawezekana😱
Uwepo umri wa kustaafu kwenye baadhi ya majukwaa JFmmmmhh!!!kumbe wadau wengi humu jf wa long sana,around miaka ya 70s na 80s ndo wanasoma sizitaki mbichi hizi!!,ndo maana maana hapa kuheshimiana kunahitajika maana waweza kuta unatoleana mbovu na babu yako.Sie wengine hiyo story ni ya miaka ya 2000s