Mliosoma Jitegemee JKT mwakumbuka?

Mliosoma Jitegemee JKT mwakumbuka?

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,136
Reaction score
12,861
Jamani mimi ni miongoni mwa tuliopitia maisha ya shule pale Jitegemee JKT (Jiteute). Tukumbushane kidogo kuhusu yaliyojiri tukiwa pale kama mambo ya kwata (for the new comers), kukimbia smart Area, pamoja na maafande na waalimu mbali mbali na vituko vyao. Binafsi nawakumbuka Bwenge na Afande Bruno walivyokuwa na mikwara.

Nawakilisha.
 
Hehehe
unajua afande Kihimbi alifariki kazini miaka michache iliyopita tena alikuwa anawakimbiza njuka smart area akaanguka na kufariki.

Mrimi naye aliafariki baada ya kuumwa mda mrefu.

Nakumbuka sana enzi za JITEUTE.
 
Back
Top Bottom