Du,mnatukumbusha jinsi sherehe zilivyokuwa zinaanzia siku ya alhamisi Tazara club,Ijumaa pinc coconut,Jummosi Bills na Jumapili tunamalizia Pool side(Kilimanjaro hotel Enzi hizo) Chini ya Dj Rankeem Ramadhani.Ilikuwa ni juu ya mwanachuo kuchagua siku nzuri kwake.