Watanzania kweli tumezoea biashara za juice na matunda,, wapi mtanzania anafanya international business bwana, ni ROSTUM AZIZI NA BAKHRESSA PEKEE NDIO WAKO kwenye international business, wengine ujanjaujanja tu humuhumu bongo. Wapi ulimsikia ALICKO DANGOTE anaomba kitalu cha bure NIGERIA,, tajiri wa kweli ambaye siye mjanjamjanja huwezi kumsikia analialia kama MENGI,,, vitalu si hata nigeria na uganda hapo si vipo? Yeye kama anahela aende kununua tu hata huko,,, kilichomtoa MUHONGO its not about Mengi bali uozo wa mfumo mzima wa utawala wa CCM na watanzania kwa ujumla,,, watanzania wote hatuna tofauti na mashoga au wale malaya wanaojiuza barabarani kule, kazi kupiga kelele kama mambwa koko tu... Nyie mnaona rais nchi imemshinda toka zamani na mnajua kabisa nchi imeshikwa na wahuni, sasa mnasubiri nini??? na mnamsubiri nani awasaidie?? Mnafikiri CCM itatoka kwenye box la kura huku nyie mko gesti na baa??? Kuondoka kwa MUHUNGO sio mwisho wa matatizo ya TANZANIA NA CCM!!! hawa akina Mengi ndio walewale wanafiki, Mengi ni CCM tu nae ila maslahi yake yakiguswa utaona anaanza kelele... WATANZANIA TUACHE UNAFIKI,, HII NI DHAMBI KUBWA SANA NA ITATUTAFUNA SANA..
Kwani za iptl ndio zitoke bila kufuata kanuni?
Kwahiyo umekiri wazi wazi mswahili mwenzenu ni MTU mwenye huruma dhidi ya wezi?
Kwahiyo ndio maana nchi inateketezwa na wezi kwaajili ya huruma yake? Dini yake inamfundisha kuwa na staha mbele ya wezi?
Kumbe ndio maana akina Singa singa wanatujambishia mitaani kwakuwa JK anahurumia Sana wezi...
2015 CCM inasimamisha mkristo tutaona upuuzi na unafiki wenu waswahili Wa kamsamba
Watanzania kweli tumezoea biashara za juice na matunda,, wapi mtanzania anafanya international business bwana, ni ROSTUM AZIZI NA BAKHRESSA PEKEE NDIO WAKO kwenye international business, wengine ujanjaujanja tu humuhumu bongo. Wapi ulimsikia ALICKO DANGOTE anaomba kitalu cha bure NIGERIA,, tajiri wa kweli ambaye siye mjanjamjanja huwezi kumsikia analialia kama MENGI,,, vitalu si hata nigeria na uganda hapo si vipo? Yeye kama anahela aende kununua tu hata huko,,, kilichomtoa MUHONGO its not about Mengi bali uozo wa mfumo mzima wa utawala wa CCM na watanzania kwa ujumla,,, watanzania wote hatuna tofauti na mashoga au wale malaya wanaojiuza barabarani kule, kazi kupiga kelele kama mambwa koko tu... Nyie mnaona rais nchi imemshinda toka zamani na mnajua kabisa nchi imeshikwa na wahuni, sasa mnasubiri nini??? na mnamsubiri nani awasaidie?? Mnafikiri CCM itatoka kwenye box la kura huku nyie mko gesti na baa??? Kuondoka kwa MUHUNGO sio mwisho wa matatizo ya TANZANIA NA CCM!!! hawa akina Mengi ndio walewale wanafiki, Mengi ni CCM tu nae ila maslahi yake yakiguswa utaona anaanza kelele... WATANZANIA TUACHE UNAFIKI,, HII NI DHAMBI KUBWA SANA NA ITATUTAFUNA SANA..
Kwa mujibu wa gazeti la Mawio Ridhiwani Kikwete alinukuliwa akisema kuwa hakuna Waziri atakae jiuzulu. Pia ni baadhi ya Hawa waliowahi kutamuka kuwa Rais hatatoka kaskazini. Tusubiri tamthilia inaendelea..........
nadhani hapa faizafoxy na lizaboni waje waseme imekuaje fisadi mwenzao kaachia ngazi maana ndo walikua vinara wa kumtetea
Hela zako nani anakupangiaga kanuni za kutumia?
Leo hii mnashangilia ujinga tu hapa na kupoteza muda, baada ya kupambana ili serikali iweke hadharani mikataba ya oil and gas ili muone ukweli na kudai haki yenu kazi ooooh MENGI mara MUHONGO, pumbavu kweli nyie, yaani jasho linawatoka kujadili ujinga huu... WATANZANIA 25% na MUWEKEZAJI 75% tena hapo mnagawana hiyo faida, muwekezaji keshatoa investment cost yake zamaniii... Halafu mnapoteza muda kujadili ujinga,, baada ya kuiwajibisha serikali na kuvunja mikataba yote tunaendeleza huu ujinga..
KWELI IDI AMIN ANAHITAJIKA TANZANIA ILI WAJINGA WENGI WAFE KWANZA NA WATU UOGA UWATOKE.
Unless kama ziko uchagoni kwangu. Kama zipo kwenye taasisi lazima vigezo na masharti vizingatiwe vinginevyo ni sawa na kuwinda kuku wako kwa manati lazima majirani watakuhisi kuwa unawinda kuku wao pia.
Mpaka hapo inaonyesha kuku wako ni wa kizungu (wa kisasa) unamfugia kwenye banda la auni. Huku kwetu kuku ni wa kienyeji huenda kula nje mpaka kwa majirani. Ndio maana process za kumkamata lazima ziwashirikishe majirani. Na kwa huku pwani ili kuepuka kulisha majrni zako kibudu lazima uombe ustadhi vinginevyo akichinja au Rugemalila au Singasinga utatulisha haramu.
kwanini wamejiuzulu?Za umma, za iptl?
Mkuu, naona hii imekaa personal zaidi, mulishawahi kuchukuliana madem nini? Anyway, siasa za Bongo ni ngumu sana
unajuaje kama wakusoma ni me?