Mliosema hang'oki mbona kang'oka?

Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.

Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.

Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.
na simbachawene akijifanya mjuwaji tunatia fitna!
 

nadhani hapa faizafoxy na lizaboni waje waseme imekuaje fisadi mwenzao kaachia ngazi maana ndo walikua vinara wa kumtetea
 
Ni JK aliyeufanya urais wa TZ uwe rahisi Sana.[/QUOTE]

Asee mpaka lowasa anautaka
 
lusungo umeokoka? karibu kwenye jamii ya watu wenye akili
 
Last edited by a moderator:
Nakuona toilet paper ya ACT

Baba yako ameiibia sana Nchi, Hata ela aliyokusomeshea marekani ni pesa ya wizi wa kodi zetu, Ni fisadi papa. Kama sio huruma ya Jk angekuwa amenyongwa sasa hivi
 
Baba yako ameiibia sana Nchi, Hata ela aliyokusomeshea marekani ni pesa ya wizi wa kodi zetu, Ni fisadi papa. Kama sio huruma ya Jk angekuwa amenyongwa sasa hivi

Kwahiyo umekiri wazi wazi mswahili mwenzenu ni MTU mwenye huruma dhidi ya wezi?
Kwahiyo ndio maana nchi inateketezwa na wezi kwaajili ya huruma yake? Dini yake inamfundisha kuwa na staha mbele ya wezi?

Kumbe ndio maana akina Singa singa wanatujambishia mitaani kwakuwa JK anahurumia Sana wezi...

2015 CCM inasimamisha mkristo tutaona upuuzi na unafiki wenu waswahili Wa kamsamba
 

LUSUNGO naomba ieleweke kuwa sio waislam wote wanaofurahia huu ujinga unaofanywa na Rais wa hii nchi. Amesikitisha na amefedhehesha sana. Nani anayefurahia km sio Faiza peke yake? Huyu Rais nchi imemshinda na aende zake. Sio kila muislam atafanya huu ujinga wa JK.
 


Hii aione FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Haa haa tumbili ametibua mawimbi ndani ya baraza la mawaziri la mr dhaifu.
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mawio Ridhiwani Kikwete alinukuliwa akisema kuwa hakuna Waziri atakae jiuzulu. Pia ni baadhi ya Hawa waliowahi kutamuka kuwa Rais hatatoka kaskazini. Tusubiri tamthilia inaendelea..........
 

prof ni smart boy. alijua ile ofisi ni ngumu akatafuta pa kuhepea mapema akamkaba roba mengi akamfanya ngao kila aliyemkosoa anaambiwa katumwa na mengi. hali ilivyokuwa tete akakimbilia vijijini kugawa umeme wa bure.

leo vijijini wanajua kaondolewa kwa fitina za mengi sio hilo tu ataendelea kushuhudia hivyo hata katika mihadhara atakayokuwa anatoa ulaya. kacheza rafu ya mwisho kwa kusitisha mkataba wa symbion hivo pesa ya mcc nayo itaota mbawa na hapatakuwa na mradi wa umeme vijijini. huyu ndo profesa.
 
Mengi ndio nani hapa???,, je uteuzi umekidhi haja za watanzania,, nyie mnashangilia muhongo kuondoka lakini je aliyeteuliwa ni competent kuweza kutufanyia kazí tuitakayo???
 
Watanzania kweli tumezoea biashara za juice na matunda,, wapi mtanzania anafanya international business bwana, ni ROSTUM AZIZI NA BAKHRESSA PEKEE NDIO WAKO kwenye international business, wengine ujanjaujanja tu humuhumu bongo. Wapi ulimsikia ALICKO DANGOTE anaomba kitalu cha bure NIGERIA,, tajiri wa kweli ambaye siye mjanjamjanja huwezi kumsikia analialia kama MENGI,,, vitalu si hata nigeria na uganda hapo si vipo? Yeye kama anahela aende kununua tu hata huko,,, kilichomtoa MUHONGO its not about Mengi bali uozo wa mfumo mzima wa utawala wa CCM na watanzania kwa ujumla,,, watanzania wote hatuna tofauti na mashoga au wale malaya wanaojiuza barabarani kule, kazi kupiga kelele kama mambwa koko tu... Nyie mnaona rais nchi imemshinda toka zamani na mnajua kabisa nchi imeshikwa na wahuni, sasa mnasubiri nini??? na mnamsubiri nani awasaidie?? Mnafikiri CCM itatoka kwenye box la kura huku nyie mko gesti na baa??? Kuondoka kwa MUHUNGO sio mwisho wa matatizo ya TANZANIA NA CCM!!! hawa akina Mengi ndio walewale wanafiki, Mengi ni CCM tu nae ila maslahi yake yakiguswa utaona anaanza kelele... WATANZANIA TUACHE UNAFIKI,, HII NI DHAMBI KUBWA SANA NA ITATUTAFUNA SANA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…