Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.
Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.
Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.
Lulu gani huyu mwinzi mwenzako tanzania haijawahi kuwa na waziri mwenye kipaji cha kuongea uwongo kama huyu mumeo nakuonea huruma sana sijui utakula wapi tena mwehu wewe.Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.
Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.
Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.
Huyo JK si afadhali ya singasinga? Mbona anaingizwa mini kila siku na matapeli? Unamuona mwamba kwa lipi? Serikali inaingizwa mjini kilauchao juzi kaingizwa mkenge na mwekezaji wa treni ya kasi kamshobokea kumbe mhuni tu....
Ni JK aliyeufanya urais wa TZ uwe rahisi Sana.
kumbe kiburi na dharau zote analala kwenye chumba kama hiyo kumbe ni masikini tuu kama mimi.Ni mchanga kwenye siasa halafu kibri kingi, ngoja apumzike
Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.
Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.
Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.
Ni Rais pekee na wa kwanza Tanzania hii ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.
Ni Rais pekee na wa kwanza Tanzania hii ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.
Nawapa pole sana vibaraka na mahawara za prof muongoo..mwizi. Dalali mkuu.mwizi wetu kaufyata...kashindwa kuweka palinge na mwenyekiti wetu.na bado tutahakikisha anafanya kazi ya kuuza mkaa mjini hapa.
Bora walioingizwa na Nyerere kwenye urais kuliko yeye aliyeingizwa na mafisadi na matapeli waliokuwa wana mtandao wake....
Huyo katoka kwenye familia ya kichifu, kaongoza shule kama mwanafunzi, kaongoza chuo kikuu kama mwaanafunzi, kaongoza na kafundisha Jeshini kama Luteni, kafanya kazi za chama na Serikali umri wake wote, kawa waziri wa wizara mbali mbali kabla hajagombea Urais. Kashinda mara ya kwanza Nyerere akamuwekea kauzibe, kashinda mara ya pili licha ya Mkapa kuta SAS apite, akamshinda Urais mpinza wake kwa mkuu kwa kishindo na wakati wa kampeni Kanisa Katoliki kupitia kwa askofu Kilaini, likanadi kuwa huyo ni "chaguo la Mungu".
Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.
Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.
Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.
Mkuu, naona hii imekaa personal zaidi, mulishawahi kuchukuliana madem nini? Anyway, siasa za Bongo ni ngumu sana
Nawapa pole sana vibaraka na mahawara za prof muongoo..mwizi. Dalali mkuu.mwizi wetu kaufyata...kashindwa kuweka palinge na mwenyekiti wetu.na bado tutahakikisha anafanya kazi ya kuuza mkaa mjini hapa.
kwanza alishalalamikia hadharani kutaka upendeleo (free lunch)kitalu cha gesi na muhongo alishahoji huyu mtu anavitalu 52 vya madini bado hatosheki tu? watu wanaopewa vipaumbele ITV ndo walikuwa mstari wa mbele kumshambulia muhongo e.gMbatia Kafulila Lembeli kwa namna nyingine walikuwa wanalipa fadhila ya mfadhili wao.
Wala usisumbuke wakupe reasons hawa ignorants. Watu waliomtetea Muhongo wamejawa na emotions tu. Wanafikiri kuwa hata kama Muhongo akitenda kosa asichukuliwe hutua kisa ana ugomvi na mengi. very primitive thinking
hawa hapa waendekeza njaa .. FaizaFoxy.. Lizaboni.. laki si pesa.. Simiyu Yetu.. gsu.. Cybercrime
hawa wote walipewa pesa na mhongo wampigie kampeni lakini wamepigwaaaaa baoo
JK aliingizwa madarakani na mtandao Wa wahuni na mafisadi ndio maana tangu aingie amekuwa na serikali dhaifu na iliyodorora Sana kwakuzungukwa na watu duni...
Ndio maana hadi vibaka wanamtapeli
Baba yako yule katibu mkuu mstaafu nae alikuwa ni mwizi na fisadi mzuri tu