fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Nawapa pole sana vibaraka na mahawara za prof muongoo..mwizi. Dalali mkuu.mwizi wetu kaufyata...kashindwa kuweka palinge na mwenyekiti wetu.na bado tutahakikisha anafanya kazi ya kuuza mkaa mjini hapa.
Hua najitahidi sana kuunganisha dots za aliyoyafanya Muhongo na connection ya Mengi kuhusika kwakweli sijapata, please nyie anti Mengi hebu mje na concrete reasons za Mengi kuhusika na SAGA la Escrow Vs Muhongo. Najua mtakuja na issue ya ugomvi wake na vitalu vya gas, hilo halina uhusiano kabisa na SAGA lilimwondoa profesa wa Geology hata kidogo, please come back and explain!Wewe Ni Mwanasiasa? Au Ndo Yule Bi Mdogo Wa Mengi?
Hua najitahidi sana kuunganisha dots za aliyoyafanya Muhongo na connection ya Mengi kuhusika kwakweli sijapata, please nyie anti Mengi hebu mje na concrete reasons za Mengi kuhusika na SAGA la Escrow Vs Muhongo. Najua mtakuja na issue ya ugomvi wake na vitalu vya gas, hilo halina uhusiano kabisa na SAGA lilimwondoa profesa wa Geology hata kidogo, please come back and explain!
Za umma, za iptl?
Wala usisumbuke wakupe reasons hawa ignorants. Watu waliomtetea Muhongo wamejawa na emotions tu. Wanafikiri kuwa hata kama Muhongo akitenda kosa asichukuliwe hutua kisa ana ugomvi na mengi. very primitive thinking
Kuondoka kwa prof muhongo hakumsaidii huyo mkuu wenu wa fitna kupata vitalu vya kufanyia udalali. Hana pesa za kuwekeza kwenye exploration ya gesi na mafuta. Kama anaweza kuwatapeli hata wafanyakazi wake mishahara ataweza wapi kutumia pesa nyingi kwenye gesi bila uhakika wa kupata chochote?
Hua najitahidi sana kuunganisha dots za aliyoyafanya Muhongo na connection ya Mengi kuhusika kwakweli sijapata, please nyie anti Mengi hebu mje na concrete reasons za Mengi kuhusika na SAGA la Escrow Vs Muhongo. Najua mtakuja na issue ya ugomvi wake na vitalu vya gas, hilo halina uhusiano kabisa na SAGA lilimwondoa profesa wa Geology hata kidogo, please come back and explain!
mkuu weka ID zao hapa hawa wenye mtindio wa ubongo na wachumia tumbo ambao walilipwa na kupewa laptop eti wavamie JF, JF haivamiwi kwa husda la hasha hata kidogo, njoo na maona kwa taifa itasaidia sio na njaa za laptop na pesa ya juisi unajifaytua akili. aibu yao.
hua najitahidi sana kuunganisha dots za aliyoyafanya muhongo na connection ya mengi kuhusika kwakweli sijapata, please nyie anti mengi hebu mje na concrete reasons za mengi kuhusika na saga la escrow vs muhongo. Najua mtakuja na issue ya ugomvi wake na vitalu vya gas, hilo halina uhusiano kabisa na saga lilimwondoa profesa wa geology hata kidogo, please come back and explain!