Ebana dogo,kwa matokeo ya mwaka huu yalvo mabaya,omba tu utapata,unaweza kuomba bcom-hrm,tourism,marketing au banking..ila ukipata inabidi ukaze msuli sana maana walimu wa hapa hawataki mazoea na kiumbe yoyote,so kama hujazoea kusoma kwa pressure na kuishi kwa stress its better ukaomba vyuo vingne kama mzumbe etc..karibu sana at the HILL uje unibebe mdogo wangu.