Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 439
- 664
Vyuo kama hivyo mda mwingine ni vyema ukafika campus yeyote iliyo karibu yako.Nimeapply hapo chuoni TIA mwezi wa 3 ngazi ya Certificate nilikua naulizia majibu kwa sisi tulioapply tayari yashatoka?? Na vipi Kama umesahau account yako uliyofungulia utaona wapi majibu?
Nb:Natanguliza shukran zangu wakuu
Jamaa wanawebsite ya hovyo na namba zao mawasiliano hazipo hewanMajibu yatatoka mwez wa 9 mwanzoni kabisa uwe unatembelea website ya chuo wataweka PDF
Sio professional kabisaJamaa wanawebsite ya hovyo na namba zao mawasiliano hazipo hewan
Nitafanya hivyo mkuuVyuo kama hivyo mda mwingine ni vyema ukafika campus yeyote iliyo karibu yako.
Ahsante mkuuMajibu yatatoka mwez wa 9 mwanzoni kabisa uwe unatembelea website ya chuo wataweka PDF
ulifanikiwa?Nimeapply hapo chuoni TIA mwezi wa 3 ngazi ya Certificate nilikua naulizia majibu kwa sisi tulioapply tayari yashatoka?? Na vipi Kama umesahau account yako uliyofungulia utaona wapi majibu?
Natanguliza shukran zangu wakuu
Nimefanikiwa now naanza masomo
BeiKWA MAHITAJI YA VYUMBA KARIBU NA TIA NICHEKI[emoji91]
[emoji625]Location: Kwa Aziz Ally, Zebra,Sabasaba & Ukuta wa Jeshi
[emoji336] 0621393139
60-120k