zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
uko nikunyimana.wakati wakufunga ndoa mnaambiwa tayari mmekua mwili mmoja kwa nn muanze kujitenga tenga.na papuchi ndo apo chanzo cha kumpa mumeo kwa nadramimi nadhani kama ikitokea nikaolewa nitakuwa na chumba changu na huyo babe cha kwake kwanza vitu vitakuwa vingi humo chumbani .saa ingine mtu unaitaji space eti !
Mmh hujaamua weweduh jumapili hii nilikua nikatangaze ndoa kanisani .kama ndo hivi ngoja nibaki na ubachelor wangu tu .hakuna namna
hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuuuko nikunyimana.wakati wakufunga ndoa mnaambiwa tayari mmekua mwili mmoja kwa nn muanze kujitenga tenga.na papuchi ndo apo chanzo cha kumpa mumeo kwa nadra
labda tukatangaze yangu na wewe hahaMmh hujaamua wewe
mababu zamani wengi walikua na nyumba ndogo ndo maana .na kwa siku hawezi kosa papuchi ya kula ilikua.hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
Duh!dhahma ukizingatia na lile dawati kandamizi lipo,mbona tutakoma
Nahisi wewe ni mangi nimecheka sana Babu kule na Bibi kule sasa wanakutana saa ngapi.hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
sasa wewe ulizaliwaje kama walikuwa hawakutani? kujambiana mwaka mnzima lazima mchokaneNahisi wewe ni mangi nimecheka sana Babu kule na Bibi kule sasa wanakutana saa ngapi.
Nimecheka mpaka basiii!
Wakija mjini kwa watoto wao mnawaweka chumba kimoja au Bibi anang'ang'ania hata alale na wajukuu wakesasa wewe ulizaliwaje kama walikuwa hawakutani? kujambiana mwaka mnzima lazima mchokane
ahahaaa hawawezi lala wote hata hoteliniWakija mjini kwa watoto wao mnawaweka chumba kimoja au Bibi anang'ang'ania hata alale na wajukuu wake
Kwanini sasaahahaaa hawawezi lala wote hata hotelini
Du!!!
Mimi tayali kunamtangaza nia!labda tukatangaze yangu na wewe haha
kutangaza nia sio kushinda.wengi tu wanatangaza nia lakini wanashidwa kwenye mchujoMimi tayali kunamtangaza nia!
Mkuu nakuelewa sana, nimekua single mwaka mmoja uliopita nime enjoy life sana,juzi kati kuna mwanamke kani convince Sana niwe nae katika mahusiano ila alichonifanyia Leo,, dah yani mpaka nimeanzisha Uzi nimeshindwa kuumalizia, eway ngoja nipige captain Morgan ya pili hapa
Sasa we Dina,ulishaniambia ni mimi tu,tena ukasema mimi ni one and only au?,sasa mambo ya kugawa ubuyu sijui nanihii au nini mimi sikuelewi,pia nikiukuoa tutalala kitanda kimoja siku zote ila pale ukiniudhi au nikikuudhi au kama huajakua msafi basi ujue utalala chumba cha pili peke yako au vipi?,kingine ujue kuna period zingine hukaribisha jini mahaba chumbani,kwa hiyo ikibidi lazima ukalale chumba cha peke yako.Njoo whatsapp nikupe ubuyu