Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntawezaChallenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
Yaan hiz zimenichekeshaa loo
Kwa hiyo ndoani ni ndoanooView attachment 447055 mi nimetoa maelezo tayari ha ha ha ha ha
duh jumapili hii nilikua nikatangaze ndoa kanisani .kama ndo hivi ngoja nibaki na ubachelor wangu tu .hakuna namnaView attachment 447055 mi nimetoa maelezo tayari ha ha ha ha ha
Sio pote lakini kwingine uwanja wa mapambano, kwingine raha January hadi December, kwingine vita tupu..... Inategemea tu, usiogope labda yako itakua eden tehKwa hiyo ndoani ni ndoanoo
Katangaze ndoa, ndoa za watu hazifananiduh jumapili hii nilikua nikatangaze ndoa kanisani .kama ndo hivi ngoja nibaki na ubachelor wangu tu .hakuna namna
Duh hii kweli tupu...kwa nini mnatufanyia hivi lakini?Challenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
alafu ya kikatoliki balaa.hainaga talaka hahaKatangaze ndoa, ndoa za watu hazifanani
Hao nao walikosea bana, hawakujiuliza kwanini refa anaingia uwanjani na kadi nyekundu.....alafu ya kikatoliki balaa.hainaga talaka haha
Ubuyu? Ngoja nije fasta kama Usain BoltNjoo whatsapp nikupe ubuyu