Mliooa/olewa ,mlio na wachumba/mahawara ambao ni wezi

Mbona umetoa hongera then ukaacha ujumbe wa kitabu kitakatifu?
As if haujaamin alichokisema kuwa mkewake au inakuwaje
Hongera sana mkuu!

"Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani"- Mithali 31:10.
 
Back
Top Bottom