G guest-1790917349 Guest Feb 28, 2022 #61 Ncha Kali said: Itakuwa unamfariji sana huyo 'rafiki' yako.! Click to expand... [emoji23][emoji23]duh hapana,naogopa nikikaa Kwenye hiyo nafasi atasahau ndoa bure! Apambane tu na hali yake
Ncha Kali said: Itakuwa unamfariji sana huyo 'rafiki' yako.! Click to expand... [emoji23][emoji23]duh hapana,naogopa nikikaa Kwenye hiyo nafasi atasahau ndoa bure! Apambane tu na hali yake
F FabNXTzqEtcgazfbjjfo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 1,585 Reaction score 2,152 Feb 28, 2022 #62 Fene said: Sitaki kuamini Hivi mliooa munaupata wapi ujasiri huu wa kulala usiku mzima bila ya kuliamsha dude View attachment 2133419 Click to expand... Kwa Akili hizi Ndoa yako haifikishi Mwaka
Fene said: Sitaki kuamini Hivi mliooa munaupata wapi ujasiri huu wa kulala usiku mzima bila ya kuliamsha dude View attachment 2133419 Click to expand... Kwa Akili hizi Ndoa yako haifikishi Mwaka
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,300 Reaction score 8,733 Feb 28, 2022 #63 Pendael24 said: Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda. Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa. Click to expand... Polee sanaa mkuu....ayaaa mambo yasikie tu usiombe yakupate,na yakikupata yasikupate uzeeni
Pendael24 said: Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda. Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa. Click to expand... Polee sanaa mkuu....ayaaa mambo yasikie tu usiombe yakupate,na yakikupata yasikupate uzeeni
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,300 Reaction score 8,733 Feb 28, 2022 #64 Ruwamangi said: Na zinaenda Click to expand... Na nje ukiwaona unatamani uwe kama wao hv...
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,113 Reaction score 9,798 Feb 28, 2022 #65 Dogo Una uko Form 4 umefuata nini Huku?? MODERATE PLEASE fungua Jukwaa la Watoto...
Acehood JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,702 Reaction score 2,906 Feb 28, 2022 #67 Kupunguza asilimia za kufikia hatua hiyo, wanandoa wanashauriwa kutumia kitanda cha 2 kwa 2 NB:5 kwa 6 na 6 kwa 6 ni kwa ajili ya mabachela TU.
Kupunguza asilimia za kufikia hatua hiyo, wanandoa wanashauriwa kutumia kitanda cha 2 kwa 2 NB:5 kwa 6 na 6 kwa 6 ni kwa ajili ya mabachela TU.
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,467 Reaction score 29,403 Feb 28, 2022 #68 Pendael24 said: Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda. Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa. Click to expand... How comes?!!!si muachane kuliko huo unaafiki broh?!!!why?!!!
Pendael24 said: Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda. Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa. Click to expand... How comes?!!!si muachane kuliko huo unaafiki broh?!!!why?!!!