Mliooa mnaupata wapi ujasiri huu?

Laiti ungejua kitandani ndo sehemu ya kupangia mipango na mikakati nyeti na mwenza wako.
 
Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda.

Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa.

Na uhuru wa kuongea na wanawake wako unao sio? Na yeye hivyo hivyo kwa njemba wake. 🤣🤣🤣
 
Hivi kukua kunaanza umri gani?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…