Mliooa mlipata wapi wake zenu?

1.muombe mungu kwani ndo muanzilishi wa ndoa.
2.tambua ni mke wa namna gani unamtaka.wanaume wengi wanafanya makosa na kuweka vigezo kama may be awe mrembo,umbo namba 8,mguu wa bia na vingine.kumbe sifa zatakiwa kuwa spiritual,attitude,habits na nyinginezo.
3.open your eyes.coz mungu ni mwaminifu so atamleta huyo mwanamke kwenye anga zako.ni kazi yako kutambua kuwa ndiye au siye.
4.then,date,friendship.courtship na mwisho ndoaaaaa.
nakwambia ndoa zinazodumu na zisizo na migogoro ni hizi.coz mtu alijiandaa kiakili,kimwili na kiroho.reseach zinaonyesha kuwa ndoa za namna hii ndizo zenye furaha na zinadumu.
point to note:wanaume jiandaeni before marriage.msikurupuke.
 
Hahaha wacha weee, mbona mimi namkumbuka mama Ali nilipata wapi....yani kipendo changu nakumbuka mpaa nguo alio vaa na saa ngapi nilimuona na alikuwa wapi...usisikie ukipenda mpaa unapata akili usahau kabisa :biggrin:

Hata mi nakumbuka kila kitu bwana!
 
micharuko kila sehemu, ata hakuna pa kutokea!! sijui mi ndo nna gundu.. au ndo hali ilivyo ila lile neno ambalo lipo kwenye kiapo na linasisitizwa sana 'uvumilivu' linachukua nafasi yake!!
aise wake walishaisha


Wanawake wazuri wa tabia wapo tatizo inategemea msingi unaoujenga. cha kwanza mwombe Mungu akupe mwanamke wa kufanana na wewe baada ya hapo utapata mwongozo wa jinsi ya kumtambua mke wako mtarajiwa

mke mwema hatambuliwi kwa kuwa girlfriend wako kwani wengi huwa wanaishi maisha bandia (artificial life) ili usigundue; ukishawaoa baada ya mda mfupi anabadilika hadi unashangaa na kuanza kusema je ni kweli huyu ndiye niliyemjua na kumuoa au nimepewa Rahel badala ya Rehema.

kumbukeni mke mwema anapatikana kwa Mungu
 
hapo kwenye kabila mi sijaweka kigezo.. inawezekana imekua too large eeh? embu nipe makabila mazuri basi nipunguze uwanja.. ila shukrani kwa ushauri, nmeupenda na story yako ni nzuri, ila tu usije rudia asili badae ukamletea magonjwa mwana wa watu

Kabila ni juu yako kuamua ila nakushauri makabila yenye mila zinazoendana na kabila lako ambalo silijui, kurudia mambo niliyokuwa nafanya kabla ya kumpata mwenza hiyo haitatokea umri mdogo, marafiki, pombe, kutokuwa na majukumu na kutomjua Mungu ndiyo kilichosababisha kutenda maovu hayo.
 
Ukishamwona ndo utakapojua kuwa ni mke wako halisi. Kuhusu ni wapi, love has no formular!!!!!
 

wala sina tabia mbaya tutor, ila tu madada wa siku ndio hawashikiki.. wana mambo mengi balaa, wanamahitaji makubwa si kidgo, na hivi era ya facebook basi akisifiwa kidgo picha zake kashakubali appointment, kuja kugundua kitambo watu washakuibia
 
Hivi kuna aina ngapi za wanawake?Halafu kumbe kuna vipezo vya kumpata mwanamke!Inawezekana ndo maana wanawake wanashindwa kuolewa!Watu wanatoa vigezo kama vile anaweka oda ya gari kwenye kiwanda!Wanawake kazi mnayo!

wanawake kama gender ni aina moja, ila wanawake kwa maana ya mwanamke wapo kibao, mpka wasagaji wapo!!
 

shukrani, nimejaribu yote hayo dada angu, ila iyo seies haikamiliki.. udate.. mtakua wapenz.. hapo sasa ndo kuna madudu, wadada mambo mengi!! wengine hata hawaangalii walichonacho, wapo busy kuangalia ambavyo hawana!!
 
do not fight for marriage,this is something to happen automatically be carefully.

nimekusoma mkuu, ila km time yazidi songa iv.. afu nshawahi pita sehem nkaskia watu wanaongea kua.. ukubwa ni maamuz, si umri!! kwamba mtu unaamua kukua, coz process ya kuongezeka umri ni very slow wala hujui kua unakua ivo unaweza jisahau kwenye utoto
 

mmmmmhh!! kweli msaada wa Mungu unahitajika
 

nimekusoma mkuu
 
micharuko kila sehemu, ata hakuna pa kutokea!! sijui mi ndo nna gundu.. au ndo hali ilivyo ila lile neno ambalo lipo kwenye kiapo na linasisitizwa sana 'uvumilivu' linachukua nafasi yake!!
aise wake walishaisha

try to be a husband material, u will get someone who is a wife material, wanawake nao wanaangalia sio unakurupuka tu nywele hujachana, umevaa jisnsi mpauko, unalala kwenye pombe atakutaka nani?sanasana utaambulia micharuko

just put ur self smart
be gentleman
respect ur self
watakuja wenyewe
 
Mtoa mada Mke mara nyingi anapatikana mazingira unayotembelea.
Mfano: Kama wewe mazingira yako ya kila siku ni Nyumbani ---kazini----bar---Nyumbani, tegemea kupata mke kati ya kazini au bar.
Fanya test ndogo; Chukua karatasi na peni, andika hao micharuko wako wote uliokuwa nao, kisha ainisha mwanzo wa mahusiano yenu, uliwapata wapi? Ukishajua hilo, jaribu kubadili hayo mazingira labda utampata ambaye sio mcharuko.
 
chakuongezea kingine mke kujua kidogo background yake hii kidogo inasaidia ukikurupuka bila hata kujua chimbuko utaumia nina mifano hai yani kaka angu sasa hivi anajuta na anatamani kuachana na mke wake hataki hata kumuona.
 
chakuongezea kingine mke kujua kidogo background yake hii kidogo inasaidia ukikurupuka bila hata kujua chimbuko utaumia nina mifano hai yani kaka angu sasa hivi anajuta na anatamani kuachana na mke wake hataki hata kumuona.
GUBE GUBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…