Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,181
- 2,571
Hiki ndicho kilimfanya Nonda Shaban akimbie Tanzania. Akawaacha akina Lunyamila ambaye alimzidi kiwango aendelee kuhangaishana na malaya.Umeandika pointi ya msingi sana hapa...wachezaji wa kigeni karibu wote wakija Tanzania mpira wao unakwisha kwa sababu ya mijike ya kitanzania na hasa ile ya Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo, Sinza na kwingineko...Wako wapi akina Katalay na Pitichou Kongo...Hata Bernard Mwalala naye yumo kwenye kundi hili....ukiwauliza wachezaji wenyewe wa kigeni watakwambia kuwa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati hakuna wanawake wazuri kama wa Tanzania..Binafsi huwa nashangaa kwa kauli yao hii..yaani eti hata Rwanda tumewashinda....ila ukichunguza ni kuwa wanawake wa Kitanzania wana sifa ya ajabu mno...hapa siyo suala la hela...kiichopo ni kuwa wanawake au mijike ya Tanzania inapenda 'kuwa' na watu maarufu...utakuta rafiki yangu mchezaji kutoka Kenya alikuwa na lijike pale Sinza lenyewe ndilo linampa hata gari ya kutembelea....Lakini ukienda kwa undani hata wanaume nao ni hivyo hivyo..wanapenda kujihusisha na watu maarufu na hasa wachezaji..utamsikia mwingine akisema leo niloikuwa na Tshisshimbi tulikuwa kwenye baa fulani na nilimpa ofa ya bia...ovyo sana...yaani mashabiki ndio wanaiowaua wachezaji kwa kutoa ofa za kilevi....